#COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona
majibu unayotaka wewe ni ya aina gani?
au unataka uje unawishwe mikono? uvalishwe barqkoa? au nini hasa.
unataka lockdown? unaweza kuinyesha mahali gani duniani wemefanikiwa kwa ajili ya lockdown?
acheni unaa.wewe nawa mikkono vaa barakoa basi mengine sijui kimya kimya uliataka majibu ya aina gani.
 
Dawa ya korona ni kuondoa hofu, kuchacharika mitaani upigwe jua na kujichanganya na watu ili kujenga herd community immunity, tumia tangawizi, limao, mchaichai na asali maji moto kila mara. Usifuatilie habari za corona zikakauletea hofu. Kisayansi -ukiweza tumia sanitizers na kifunika mdomo. Maneno mengine ni siasa na blabla ya mitaani. Mwisho Maombi sana.
 
Acheni propaganda za wazungu hakuna corona duniani ,hayo ni mafua tu yataisha.

Jidanganye, labda haijampata mmoja wenu katika familia ama jamaa. Tatizo lenu mpaka kiongozi atangaze ndio mshituke,,na mtakufa sana msipojihadhari,,tena ngozi nyeusi ndio wanakufa zaidi kuliko white.
 
Wewe nani unaemjua kafa kwa korona?
 
Sio lazima usapoti kila jambo hata kama na ww ni sehemu ya watendaji wakuu. Hapa haupo na Id halisi.
 
Unatusemea kama na nan
Waziri wa afya hajesema chochote
 
Bwana eeeh tuache tuendelee kumeza chloroquine maana tumesikia ni dawa
 
Watanzania tusipende kuiga kila kitu, sisi tupambane na Flu na kikohozi na tuwaache wazungu wapambane na Corona.

Kiukweli siyo jambo jema kuvamia vamia chanjo kwa sababu maradhi ya mzungu ni tofauti na yale ya waafrika kiutabibu so ni vema tukachukua tahadhari pasipo kujengeana hofu kwani hofu ndio iletayo mauti ya roho na mwili.

Unadhani kwanini wazungu hawafi kwa ukimwi?

Je, wamechanjwa?!

Maendeleo hayana vyama!
 
NAJARIBU KUUNGANISHA DOTS KUHUSU HII MADA ILA NACHOAMBULIA NI KUWA SIO LAZIMA KILA MMOJA ATOA MADA KUHUSU JAMBO FULANI.
 
Alafu hivi vifo sisi tuliokulia ukanda wa radio one vilikua vinatangazwa kila siku lakini hakukuwepo maneno mengi kama leo.
 
Corona inayochagua watu wenye umri mkubwa! Tutafakari kwanza je rais akitoa tamko tukae majumbani itakua dawa?

Km ni ugonjwa wa maabara hata huko majumbani utatufuata.

Mbona hao wanaojifungia tokea umeanza mpka leo bado unawaua?
 
Watanzania tusipende kuiga kila kitu, sisi tupambane na Flu na kikohozi na tuwaache wazungu wapambane na Corona.

Kiukweli siyo jambo jema kuvamia vamia chanjo kwa sababu maradhi ya mzungu ni tofauti na yale ya waafrika kiutabibu so ni vema tukachukua tahadhari pasipo kujengeana hofu kwani hofu ndio iletayo mauti ya roho na mwili.

Unadhani kwanini wazungu hawafi kwa ukimwi?

Je, wamechanjwa?!

Maendeleo hayana vyama!
Yeye anapambana kwa kijificha, sisi tujifiche wapi? Ikipamba mot anajificha machakani, ikipoa anarudi. Analetewa kla kitu kwa fedha zetu, maisha kama kawaida kwake, Sisi tujifiche wapi?
 
Corona inayochagua watu wenye umri mkubwa! Tutafakari kwanza je rais akitoa tamko tukae majumbani itakua dawa?

Km ni ugonjwa wa maabara hata huko majumbani utatufuata.

Mbona hao wanaojifungia tokea umeanza mpka leo bado unawaua?
kwa hiyo? conclusion yako ni ipi?
 
Back
Top Bottom