Do you think God is contract killer?? And death only comes to the wicked and spare the innocence one?? Nah.
Death is certain my dear kaa vyema usije ukapitiwa wewe
.Mungu mwenyewe kasema mbele yako nimeweka uzima na mauti. Chaguo ni lako kupitia matendo yako. Km una dhurumu watu,unaiba kura, unafunga watu bila makosa, kwanini mauti yasikupate?
 
Sure
 
Kaandika hivi kupitia twitter:

Utawala unao kosea kwa makusudi na kusabibisha vifo vya watu kama ilivyo Tanzania sasa hauna tofauti na Magaidi.Kiburi cha Magufuli ni huzuni kwa Nchi kwa vifo ambavyo vingewezwa kuepukwa/ kupungua.Watu wanakufa na mizaha ina endelea.Watoto wana baki yatima,umasikini unaongezeka
 
Huyo bora angekaa kimya.
 
Lkn mshkaj si alijitoa ubongo lendi
 
Jiwe ameshika hatamu😂😂😂😂😋
 
mkuu tengua kauli yako utawala wa magufuli auna uwezo wa kusema Nani afe Nani asife. waliochukua hatua zote lakini bado watu wao wanafaliki
ZINGATIA. akuna mbadala wa kukwepa kifo
 
Kwa hiyo serikali ikishaongea ndiyo changamoto ya upumuaji itaisha? Isitoshe mganga mkuu wa serikali alitoa wito kwa wananchi kuchukua hatua, sasa wanataka Magu aongee ili kiwe nini.

Kwa wenzetu huko wamechukua kila aina ya hatua lakini mambo bado ni magumu, hebu iachane serikali ifanye njia zake ambzo inaona zinafaa. Huwezi kufuata njia zile zile amabazo zimetumiwa na wengine bila kutoa matunda manzuri.

 
Amezungumuziaje pia kuhusu huko ulaya ambako tarifa za vifo zaidi ya watu 3000 vilivyokuwa vikiripotiwa Kwa masaa ishirini na nne? Na hivi juzi tu nchi moja huko ulaya ililiripoti watu zaidi ya 2500 walifariki Kwa covd 19,

Hayo anayasemaje huyu mkimbizi?
 
Hata mkitoa mapovu,ujumbe umewafikia.
 
mwambieni Canada aliko na ubelgiji kwa Lisu hali mbaya wote ngoma droo hadi sasa
sasa wote wanasoma vifo elfu 21 pamoja na tahadhari zote wanaozingatia yeye saa yoyote unamdaka aombe Mungu sana siwezi sema atumie malimao ,tangawizi nk canada na ubelgiji havipo hata vikiweko bei ni mbaya hawezi nunua fresh fruit kule wanakula matajiri sio lofa kama Lema mtegemea allowance za ukimbizi

Ajitahidi tu kujifukiza labd8a na maji makavu lakini kayataka anakambia nchi isiyova abarakoa anaufywata ugonjwa uliko hiyo ni self suicide labda asiwrpo mtu kwenye familia yake ayakayekufa na corona Canada lakini akitokea awe yrye au Lisu wakirudi wafunguliwe mashtaka ya kwenda kujinyonga canada na ubelgiji kupitia kamba ya Corona iliyoko kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…