Niliwahi sema hivi hapa JF:
Gharama ya watu kupuuza siasa katika nchi si tu ni kubwa mno,bali hakuna hata tajiri anaeweza kuimudu.
... uko sahihi sana Mkuu. Siasa ndio kila kitu; ndio inatawala na kuamua mustakabali wa maisha yetu; wengi hatujui hilo tunaichukulia kimizaha sana. Twendeni tukajiandikishe tupige kura tuchague viongozi wanaofaa; visingizio kibao - niko safarini, sina muda, hayatuhusu sisi vijana, n.k.Niliwahi sema hivi hapa JF:
Gharama ya watu kupuuza siasa katika nchi si tu ni kubwa mno na hailipki kwa masikini na matajiri,bali hakuna hata tajiri anaeweza kuimudu.
Mfano, leo hii hata matajiri wakiwemo kina MO, wameonja adha ya siasa na wanasiasa baada ya kutekwa.
Na sasa changamoto ya upumuaji na madhara yake inayochangiwa na maamuzi mabovu ya wanasiasa wetu hata matajiri hawako salama.
Lissu alituambie tuandamane tukampuuza, leo tunalipa gharama ya kumpuuza.Mkuu una hoja ya msingi sana.
Lazima tuwe na pa kuanzia. Suala la kutelekezewa gonjwa halina chama.
Hawa ni wa kuvaana nao head-on sasa.
Bottom line, hatukubali kutelekezewa gonjwa hali kodi wanachukua.
Na uzuri wa hili la sasa la changamoto ya upumuaji madhara yake yanagusa hata wale wanaowalinda hao wanasiasa kwa mitutu ya bunduki,virungu, ving'ora na n.k.... uko sahihi sana Mkuu. Siasa ndio kila kitu; ndio inatawala na kuamua mustakabali wa maisha yetu; wengi hatujui hilo tunaichukulia kimizaha sana. Twendeni tukajiandikishe tupige kura tuchague viongozi wanaofaa; visingizio kibao - niko safarini, sina muda, hayatuhusu sisi vijana, n.k.
Twendeni kwenye kampeni tukasikilize sera na kuwahoji wahusika; hatuna muda, mambo ya wazee. Wachache tuliojiandikisha twendeni tukapige kura - hatuna muda. Matokeo yake zaidi ya 25m wanaodaiwa kujiandikisha, waliopiga kura ni around 10m halafu leo tunalalamika. Pamoja na COVID-19, nchi nzima nyumba na mabanda yote yanapigwa chapa watu wote waanze kulipa kodi.
Huna haki ya kuishi kwa sababu wakati wahuni na mabumunda wanachukua nchi kwa njia za hila na za kihuni wewe uliishia kukenua meno!Sasa hivi ni wakati wako wewe kulipa uzembe uliofanya,na utalipa kupitia kifo.
Kwani kuna mtu kasema huna haki ya kuishi?
Mbona unvaongea kama umekatwa kichwa?
Kwani mkapa aliswapiwa na huyu mududu wa coronaKafa Mkapa na Mahiga na hakuna kilichobadilisha chochote mkuu.
Yawezekana... Huenda...Mjinga yeyote anamawazo kama yako, unapo aminisha watu hakuna tatizo unawafanya wasichukue tahadhari yeyote hivyo kama ilibidi wafe 10 basi watakufa 30 lakini ukiwapa tahadhari wangekufa 10 wengine wangepona kwa sababu wamechukua tahadhari
Hizo nchi unazo zisema yawezekana hivyo vifo kwao vimekuwa vichache kwa sababu ya tahadhari inayo endelea kutiliwa mkazo huenda kinyume na hapo ingekuwa mara tatu ya hivyo unavyo sikia
Pia wenzetu hawana ujinga ujinga wa kuficha ficha takwimu kwenye mambo sensitive , yawezekana tanzania tunakufa mara tatu ya wao ila ukweli unakwepeshwa kwa maslahi ya mtu mmoja pekee.
Ndio maana nikasema huo ni ujinga kwa sababu unafikiri upande mmoja na kuuacha mwingineYawezekana... Huenda...
hata wewe huna hakika ya hoja zako.
Kitu ambacho Magufuli hataki kukifanya Ni kutangaza hali ya hatari hivyo kudhibiti taharuki.
sasa kama yeye alishasema kuna corona ya ajabu ajabu imekuja. Akasisitiza watu wajikinge. MoH imetoa palative, unataka nini tena?
Mkuu mie nakuelewa vizuri sana. Siangalii serikali katika negative pekee ( katika yale iliyo shindwa ), naangalia pia katika yale iliyoweza kuyafanya pia na yakawa na faida kwa jamii. Swala la afya nchi nyingi za africa zimekuwa nyuma, na zimekuwa zinategemea zaidi misaada katika sector ya afya hata katika janga la corona nchi nyingi hazina uwezo wa kukabiliana nalo wenyewe hadi pale ambapo wame wezeshwa misaada. Kwa nchi yetu imepata fund ya kutosha ?
Status yake ya ukimbizi haimruhusu kufanya siasa ngoja tutapelekea immigration Canada wamfutie ukimbizi kwa kukiuka masharti tunampa onyo la mwishoHuyu Lema atulie, akili za kuchanganua mambo hana.
Badala ya kusubiri Serikali Kwanini sisi wananchi tusianze kuonyesha tunachohitaji? Kwanini wananchi tusijitolee kusaidia Hospitali ambazo tayari zipo uwezo wa kutoa huduma? Kwanini kila kitu tusubiri serikali?
Nadhani muda wa kulalamika umeshakwisha sasa maana Jiwe hawezi kutoka hadharani na kuongea tena. Sasa hivi keshawaachia hiyo kazi kina Dorothy Gwajima
Tunapaswa sasa kuwa tunapost nini kifanyike tukionyesha na success stories kutoka kwingineko.
Msemaji wa Serikali (Dr. Abas) amesema Serikali haijawahi kukataa kwamba Corona ipo na akasema kwamba Serikali haitacopy blindly mbinu wanazotumia nchi nyingine
Ndio watu walivyokuwa wakisema humu ila mie sina ushahidi wa hilo.Kwani mkapa aliswapiwa na huyu mududu wa corona
Wapinzani wa Magufuli kwa maneno ya kanga amjambo, Waziri mwenyewe alikuwa amevaa baracoa masaa 24 amekuja kuvua baada ya kuona kwa Magufuli na cabinets yake baracoa sio insue,kama chanjo inazuia corona mbona wanaendelea kuvaa baracoa na kujifungia ndani.Magufuri ni mwanaume wa shoka atishiki kwa maneno,anajua kufa kupo tu akuna mwanadamu awezae kukikimbia kifo kikijaMbona rumours has it yule Waziri wa mambo ya Nje wa China alikuja na madaktari wao na chanjo kwaajili ya top layer.
Lema awezi pata baraka, maana kajipereka utumwani mwenyewe na kizazi chake,hiyo raana ya kujifanya mkimbizi ili apate msaada itamtafuna yeye na kizazi chake chote mpaka kizazi cha nne.Mwaume akimbii matatizo anakabiliana nayo.Mungu mbariki Lema