Safi kabisa tena safi sana,
Na hayo ndo mawazo mazuri ambayo ilitupasa kila kijana, kila mzee, kila mtoto liwe kichwani mwake.

Mkuu naomba ridhaa mawazo yako nakayatoe mahali tena kama yalivyo ili ujivunie na nikutaje pia kwa kusema kuna kijana katika pita pita zangu alisema hivi:'
 
Yote itaishia kulipia deni la taifa. Taifa Kama taifa tuko pabaya sana, dereva akikosea njia tu wasafiri wote hupotea, nasi tumepotea😭
hahahaha tutalipa deni aliloacha kikwete maana ndio tunalifahamu, haya mengine mlisikia wapi nchi imekopa wakati wanajinasibu kila siku kuwa nchi ni tajiri?
 
hahahaha tutalipa deni aliloacha kikwete maana ndio tunalifahamu, haya mengine mlisikia wapi nchi imekopa wakati wanajinasibu kila siku kuwa nchi ni tajiri?
Kwahiyo haya matrilion yaliyoongezeka, tunamwqchia mwenyewe na doto wake hazina?😆
 

Kila nchi Ina deal na hili janga kivyake... I think ni kuwa irrenspossible kuwadanganya watanzania hili janga halipo, ndio maana nikamtaka yule yule aliyesema hakuna corona aseme ipo Hata kama mtu mmoja aliyeamini corona hamna akajua sasa corona ipo akachukua measures kujikinga itakuwa enough,,,, hao unaowasema hawaendi infront na kusema korona haipo wakati wanajua ipo, otherwise things could be worse...
 
Katika vitu nilivyoumia ni jinsi gvt ilivyolichukulia hilo swala huku kukiwa na vifo vingi lakin wao wapo busy na mambo mengine kabisaa harafu wanajitokeza kwenye kutangaza vifo vya watumishi tuu bila kutoa angalizo la ugonjwa hatari wa wave 2 maana huu unaua haraka mno tofauti na wave 1 na hauchagui kijana wa mzee na watalaamu wamepigwa nyundo wanaoongelea hilo swala ni wachimba chumvi tu na hakuna kitu wanachokujua zaidi zaidi wanatumia mbinu za kinjekitile Ngware..
 
Ovyo kabisa ,waste, msimamo wa rais ni Bora zaidi .
 
 

Nimeipenda hii sana 👌👌👌👌👍👍👍👍👍👍👍👍👍.Asante kwa ushauri hope DR Gwajima ameona hili na atalifanyia kazi. Again, Asante mkuu
 
Kwa hio unaona sawa kwa vile vifo vipo nchi nyingine then tusichukue hatua kukabiliana na covid?
Becky kiaje?

Mkulu alisema ile kwenye wimbi ya kwanza kwamba ugonjwa upo na watu wajihadhari.

Kuna mkutano mmoja alitania na kusema akina mama wakiweza watumie ile nguo ya kifuani kutengenezea barakoa.

Serikali ilitoa matamko ya kuchukua tahadhari na watu waliitika kwelikweli kunawa, vitakasa mikono na barakoa.

Kwa hizi serikali zetu hizi si ajabu mkulu na mazee wote wa mfumo wamepigwa chanjo na wao wadunda tu.

Hata mzee wa Msoga nae katulia upepo upite.

Wengine wazito kama MO wao wametulia tangu ile first wave maana hawa waona mbali.

Anyway wananchi wa kawaida tuna budi kuchukua tahadhari kwa kuepuka mikusanyiko kama misiba na marikiti.
 
Marekani, Uingereza na Ufaranza walichelewa kuchukua hatua kwenye hii second wind ya Covid-19 na serikali ziliomba radhi. Kwasasa wanajitahidi kwa kuongeza kasi ya chanjo kwa wananchi wao kwa siku.
 

well said my lady...now lets wait and see the action of His excellence Dr.
 
Selikali hata ingesema corona ipo bado mngekufa kwa hofu na njaa,

Na hata ingesema ipo bado hakuna hatua yeyote ingesaidia kuzuia vifo. Kama ipo nitajie imefanya kazi wapi hiyo hatua?

Hivi unaposikia Marekani au kwingineko wamekufa watu laki 3 na wakikuwa wamwjifungia ndani unapata picha gani?

Acheni jamani mpaka hapa tulipo Mungu katupendelea sana ni vile nyie washabiki wa Lisu siku zote huwa mnaangalia upepo unakoelekea.
 
Point
 

hayo maelekezo wewe umeyapata wapi....tumeshaambiwa hamna corona...na hamna maelekezo yoyote kutoka serikalini...
 
Marekani, Uingereza na Ufaranza walichelewa kuchukua hatua kwenye hii second wind ya Covid-19 na serikali ziliomba radhi. Kwasasa wanajitahidi kwa kuongeza kasi ya chanjo kwa wananchi wao kwa siku.
Acha zako bhana,!

Watu wamejifungia ndani wakiwa na maambukizi ya watu wasiozidi 100 na vifo visivyozidi 10 na bado wakafa kwa maelfu kisha unasema walichelewa?
 

Unakosea sana kama huoni damage ya kusema Tanzania hamna Corona, siwezi kuendelea kubishana na wewe sababu umeamua mwenyewe kua mbishi tu, Leo kama Rais sema Tanzania hakuna ukimwi halafu seat back and watch the impact...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…