Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Safi kabisa tena safi sana,Hatua ipi?
Hakuna hatua yeyote iliyooonesha kuondoa corona, achana na nchi za kiafrika maana wao walikuwa wanaigiza wanachukua hatua, bali angalia kule marekani na ulaya pamoja na hatua kali umeona vifo vyao?
Sasa kama hali ni ile unataka sisi tufanyaje?
Na hayo ndo mawazo mazuri ambayo ilitupasa kila kijana, kila mzee, kila mtoto liwe kichwani mwake.
Mkuu naomba ridhaa mawazo yako nakayatoe mahali tena kama yalivyo ili ujivunie na nikutaje pia kwa kusema kuna kijana katika pita pita zangu alisema hivi:'
