mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,601
Kikwete alishawai ongea kwamba "za kumbiwa changanya na zako"'Mamlaka' inasema hiyo kitu haipo macho makavuuuu,
mimi ni nani niseme vinginevyo?
wewe nani unipinge?
Sikuelewi ujue.
Sisi raia tumemwajir rais. Anawatendaji na vitendeakazi vyote vinavyohitajika. Anapaswa aongoze taifa kwa nuia iliyo sahihi. Unataka tutoe ushauri gani? Mimi kwa mfano sio daktari, sio mchumi lakini ni mlipa kodi. Nikiona vifo vinavyotokea na magonjwa yanayosumbua jamii nina haki ya kuhoji na kupewa majibu sahihi toka kwa serikali ambayo ndio yenye wajibu wa kudhibiti hali hiyo.Nimeona watu wengi wanalaumu serikali hasa Rais Magufuli kuhusu vifo hivyo vinavyohusishwa na ugonjwa wa Corona,
Wengine wanakejeli, kutukana, kebehi n.k kuhusu serikali.
Ila ni wachache sana wanakuja na ushauri au solution kutokana na wingi wa vifo hivyo.
Inajulikana Corona ipo nchi nyingi, imeua na inaendelea kuua watu duniani kote.
Hivyo kama watanzania wenye akili timamu bila kuangalia itikadi zetu za kisiasa, kidini, kikabila n.k ni vizuri tukawekeza nguvu kubwa katika kutoa mawazo ya kujenga kuhusu namna ya kupambana na huu ugonjwa.
Hivyo kwa yeyote mwenye mawazo mazuri ya namna ya kupambana na huu ugonjwa ni vizuri akashauri vyema sababu Corona haichagui mtu wa kumuondoa, pia ugonjwa wa Corona haujaletwa na serikali au Raisi Magufuli hivyo matusi, kejeli, dharau na vitu vya namna hiyo kwa serikali sio sawa.
Mimi nasema kipimo cha korona kiwe bure, na takwimu zitolewe mbona za ukimwi na marelia tunapewa takwimu why korona tunaogopa kutoa?Katika hizo hoja zako naungana nawe kabisa, kuna haja serikali kutoa kauli kuhusu mustakabali wa wananchi na huu ugonjwa
Pia kuvaa BARAKOA iwe LAZIMA kwenye mikusanyiko, daladala, nk...Atoe amri, vyombo vya usafiri wa umma, turudi kwenye level seats.
Kinyume na hapo atakuwa anafanya genocide
Tulia KwanzaHata kuanzisha mada pia ni mchango mkubwa.
Nasubiri mchango wako
Tatizo mnaficha vifo hamtaki watu wajue kuwa wanakufa kwa corona. Sasa kama mnaficha na mnasema corona hakuna unategemea ushauti atoe nani wakati hamtaki kukubali kwamba tatizo lipo? Kubalini ukweli na watu watatoa ushauri unaousemaNimeona watu wengi wanalaumu serikali hasa Rais Magufuli kuhusu vifo hivyo vinavyohusishwa na ugonjwa wa Corona,
Wengine wanakejeli, kutukana, kebehi n.k kuhusu serikali.
Ila ni wachache sana wanakuja na ushauri au solution kutokana na wingi wa vifo hivyo.
Inajulikana Corona ipo nchi nyingi, imeua na inaendelea kuua watu duniani kote.
Hivyo kama watanzania wenye akili timamu bila kuangalia itikadi zetu za kisiasa, kidini, kikabila n.k ni vizuri tukawekeza nguvu kubwa katika kutoa mawazo ya kujenga kuhusu namna ya kupambana na huu ugonjwa.
Hivyo kwa yeyote mwenye mawazo mazuri ya namna ya kupambana na huu ugonjwa ni vizuri akashauri vyema sababu Corona haichagui mtu wa kumuondoa, pia ugonjwa wa Corona haujaletwa na serikali au Raisi Magufuli hivyo matusi, kejeli, dharau na vitu vya namna hiyo kwa serikali sio sawa.
Naunga Mkono HojaTatizo mnaficha vifo hamtaki watu wajue kuwa wanakufa kwa corona. Sasa kama mnaficha na mnasema corona hakuna unategemea ushauti atoe nani wakati hamtaki kukubali kwamba tatizo lipo? Kubalini ukweli na watu watatoa ushauri unaousema
Hii picha yako sijui hata umeitoa wapi maana inanichefua!!!:Sasa huyo Magufuli nimemtukana tusi gani?
Ninachosema Magufuli atimize wajibu. Kimya ni jawabu la mpumbavu.
Atoe amri, vyombo vya usafiri wa umma, turudi kwenye level seats.
Kinyume na hapo atakuwa anafanya genocideView attachment 1705913
Huu uzi hauna vigezo na masharti, yeyote anachangia mawazo bila kikomo, ili mradi mawazo yawe mazuriHahahaaaa,,, hiyo inaitwa kumaliza mwenyewe
Kusoma na kutoa comment ni mchango mkubwa sanaHata kuanzisha mada pia ni mchango mkubwa.
Nasubiri mchango wako
Uko sahihi kwa namna moja,Sisi raia tumemwajir rais. Anawatendaji na vitendeakazi vyote vinavyohitajika. Anapaswa aongoze taifa kwa nuia iliyo sahihi. Unataka tutoe ushauri gani? Mimi kwa mfano sio daktari, sio mchumi lakini ni mlipa kodi. Nikiona vifo vinavyotokea na magonjwa yanayosumbua jamii nina haki ya kuhoji na kupewa majibu sahihi toka kwa serikali ambayo ndio yenye wajibu wa kudhibiti hali hiyo.
Sio picha yangu, hiyo ni picha ya hali halisi. Yeye kajitenga, sisi tuko hatarini. Buriani Kaka yangu , rafiki yangu na kila kitu kwangu Elihuruma MpayoHii picha yako sijui hata umeitoa wapi maana inanichefua!!!:
Ushauri sio kwa Magufuli peke yake, inawezekana ukatoa ushauri kwa raia wa kawaida namna ya kujikinga, ukatoa ushauri kwa watu walio hatarini zaidi n.k.Utatoa ushauri gani kwa Magufuli?
Huo ndio ushauri unaohitajika na nakupongeza kwa hilo.Mimi nasema kipimo cha korona kiwe bure, na takwimu zitolewe mbona za ukimwi na marelia tunapewa takwimu why korona tunaogopa kutoa?
Ushauri unatakiwa kuwa mwingi kadiri iwezekananyo, na ushauri isiwe kwenda serikali tu bali iwe hata kwa wananchi wenzetu wa kawaida kwa kuelimishina nini cha kufanya na nini cha kuacha ili kujikinga.We mjomba umeeleza watu wametoa ushauri na waendelee kutoa ushauri, huo uliotolewa awali umefanyiwa kazi? Au wameishia kuwakejeli tu?
Hapa tunashauri na kutoa maoni, hamna mambo ya kuvuruganaTulia Kwanza
Usituvuruge Sasa Hivi
Tunapambana