mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,601
Nakuunga mkono, huo ndio ushauri unaotakiwa.Tatizo mnaficha vifo hamtaki watu wajue kuwa wanakufa kwa corona. Sasa kama mnaficha na mnasema corona hakuna unategemea ushauti atoe nani wakati hamtaki kukubali kwamba tatizo lipo? Kubalini ukweli na watu watatoa ushauri unaousema
Ni sawa, tuendelee kutoa comment kwa maoni na ushauri kwa serikali na raia wenzetu wasio na elimu kuhusu huu ugonjwaKusoma na kutoa comment ni mchango mkubwa sana
Unashauri serikali wani Lisu,Shauri serikali waku Lisu
Safi sana kwa ushauri mzuri,Watanzania wanamuamini kiongozi wao, ndiyo maana hata wasomi kama katibu mkuu kiongozi huku wakijua kabisa kuwa korona ipo ila walisimamia imani ya boss wao.
Uliona jana kijana amesimama mbele ya jeneza la Kijazi pengine ni mwanae, yupo hana barakoa, sasa si muwaambie wavae, au mnapenda kuzika.
Waambieni watu wajikinge wanangojea kauli za nyie mliowaaminisha kuwa korona ni kwa mapapai mbuzi na mafenesi.
Mawazo mazuri sana. Wapo wanaotoa kipaumbele katika kuitukana Serikali, hususan Rais JPM. Wanakazia Rais atangaze kwamba corona ipo nchini wakati watu hao hao hawazingatii mawaidha yanayotolewa ya kutojumuika kwenye mikusanyiko isiyo ya lazima, kuvaa barakoa, n.k. Tumeona ilivyokuwa kwenye mazishi ya Maalim Sef Hamad.Nimeona watu wengi wanalaumu serikali hasa Rais Magufuli kuhusu vifo hivyo vinavyohusishwa na ugonjwa wa Corona,
Wengine wanakejeli, kutukana, kebehi n.k kuhusu serikali...
Wengi wanaokejeli ni kwakuwa serikali kupitia raisi walisema tz huko hakuna korona wakati si kweli, watu kila siku wanakufa bado serikali wameleta jina jipya changamoto ya upumuaji na si koronaHuo ndio ushauri unaohitajika na nakupongeza kwa hilo.
Umetoa ushauri na maoni bila matusi wala kejeli kwa Serikali ni vyema zaidi sababu inapelekea kujenga mshikamano baina ya serikali na wananchi.
Matusi, kejeli, mashinikizo n.k mara nyingi havijengi
Ipake rangi ipendeze.Unashauri serikali wani Lisu,
Utakua na roho mbaya sana wewe
Nakupongeza kwa ushirikiano,Mawazo mazuri sana. Wapo wanaotoa kipaumbele katika kuitukana Serikali, hususan Rais JPM. Wanakazia Rais atangaze kwamba corona ipo nchini wakati watu hao hao hawazingatii mawaidha yanayotolewa ya kutojumuika kwenye mikusanyiko isiyo ya lazima, kuvaa barakoa, n.k. Tumeona ilivyokuwa kwenye mazishi ya Maalim Sef Hamad. Waombolezaji hawana habari kabisa na kinga zinazohitajika. Inakuwa kama Rais akitangaza tu kwamba corona ipo, ugonjwa ndio utakuwa umekwisha. Watanzania tuweke pembeni hoja za kisiasa. Tufuate mawaidha tupewayo na kuacha mambo ya siasa kwenye nyanja za siasa.
Acha Shari sehemu isiyo na shari.Ipake rangi ipendeze.
Kwani wewe huwezi kuona kama gari limejaa ukaacha kupanda???Hadi uamrimshwe???? Hiyo ni akili ya kitumwaSasa huyo Magufuli nimemtukana tusi gani?
Ninachosema Magufuli atimize wajibu. Kimya ni jawabu la mpumbavu.
Atoe amri, vyombo vya usafiri wa umma, turudi kwenye level seats.
Kinyume na hapo atakuwa anafanya genocideView attachment 1705913
CCM Chama Cha Mazezeta. Mmeshindwa kufikiria, hata kuwaza pia?Kwani wewe huwezi kuona kama gari limejaa ukaacha kupanda???Hadi uamrimshwe???? Hiyo ni akili ya kitumwa
Huu ugonjwa siyo mpya. Una upya gani na ugonjwa ulianza tangu mwezi March mwaka jana?Ushauri unatakiwa kuwa mwingi kadiri iwezekananyo, na ushauri isiwe kwenda serikali tu bali iwe hata kwa wananchi wenzetu wa kawaida kwa kuelimishina nini cha kufanya na nini cha kuacha ili kujikinga.
Izingatiwe huu ni ugonjwa mpya hivyo elimu yake inahitajika sana
Umeuliza vizuri.Sasa wewe umetoa mchango gani wa jinsi ya kupambana na corona? Au umekuja kuandika bla bla tu na kuondoka ?
Kwa wale wanaotumia vilevi kama pombe na sigara, mjitahidi kupunguza au kuacha kabisa matumizi ya hivyo vilevi kwa kipindi hiki cha huu ugonjwa ili kuongeza ufanisi wa mfumo wa upumuaji
Asante. ila narudia: Sisi raia tumemwajir rais. Anawatendaji na vitendeakazi vyote vinavyohitajika.Uko sahihi kwa namna moja,
ila kwa namna nyingine unaweza ukawa sio mtalam wa fani yeyote ila kwa uzoefu kutokana na kuona, kusikia au kusoma kuhusu Corona ukawa na mawazo ya kushauri serikali, ijulikane huu ni ugonjwa mpya hivyo tukiwa na mawazo mengi toka kwa watu tofauti tunaweza tukafanikiwa.
Mamlaka leo inasema muombe mungu.Kikwete alishawai ongea kwamba "za kumbiwa changanya na zako"
Hivyo hata serikali ikisema hakuna ugonjwa, wewe watakiwa kujiongeza kwa kuthibitisha.
Huko ni kuenda kinyume na mamlaka,Kuna kujikinga kwa mtu binafsi na Kitaifa,
Kwa sasa kila mtu binafsi ajikinge, huku tukiendelea kusubiri tamko la Kitaifa toka serikalini