mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,601
Nakuunga mkono, huo ndio ushauri unaotakiwa.Tatizo mnaficha vifo hamtaki watu wajue kuwa wanakufa kwa corona. Sasa kama mnaficha na mnasema corona hakuna unategemea ushauti atoe nani wakati hamtaki kukubali kwamba tatizo lipo? Kubalini ukweli na watu watatoa ushauri unaousema