Zingatia maombi ya siku tatu,mkuu amesema mafua ya kubana yasitupe hofu.
 
Kwangu ni vigumu sana kumuamini tangu aliposema ameongea na aliyewahi kuwa waziri wa fedha marehemu Dr Kigoda, eti aliongeanae kwa simu Dr Kigoda akiwa ICU hosptalini India. Sina imani na kauli zake.
 
Hii corona wataalamu wanadai inazidi kuja kivingine kabisa. Sasa hivi inahama kutoka mapafuni kushuka chini kwenye tygoh. Yani mfumo wa marvey kwa ujumla utakuwa tempered vibaya sana utakuwa ni mwendo wa massive, aggressive and violent vibration kwenye maryndah.

Lord help us!
 
Kuna mtu alimwambia tunataka lockdown?
 
Kwangu ni vigumu sana kumuamini tangu aliposema ameongea na aliyewahi kuwa waziri wa fedha marehemu Dr Kigoda, eti aliongeanae kwa simu Dr Kigoda akiwa ICU hosptalini India. Sina imani na kauli zake.
Aliwahi kuongea hayo maneno huyu mwamba
 
Umeandika nini wewe
 
Dah we jamaa imenichukua sekunde kadhaa kukuelewa... hahaha
 
Reactions: Mj1
Akili yako ilivyo fupi hata hujui unataka nini. Umesema serikali itangaze level seat. Halafu unasema siyo kila mtu anapandia mwanzo wa safari. Sasa serikali ikitangaza level seat hao wanaopandia njiani watapandaje? Tatizo mnawaza siasa hadi mnakosa akili
 
Kwani hata walioshinda vita kuu ya pili hawakua na wanajeshi/raia waliouawa? Hii ni vita na tutaishinda
 

Hakuna mtu anasema lock down mbinu zinajulikana ni kuvaa barakoa, kukaa mita moja kati ya watu na kuosha mikono bila kujigusa gusa usoni sasa haya kwanini hayasemwi wakati hayazuii maisha ya watu kuendelea?
 
Tusimame na Mungu wakati huu wa kifo cha changamoto ya upumuaji
 
Kama Jpm ana idanganya dunia kwamba kulikuwa na uchaguzi huru na wa haki, ana shindwaje kusema corona hamna?

Ana shindwaje kutuambia Mpango kamtumia sms?

Ana shindwaje kutuambia ana wajali Watanzania na kumuamini Mungu?

HivibJpm ana mjua Mungu kuliko Mapadre walio ongoza ibada ya kumuaga Kijazi leo?

Maana Mapadre hukesha madhabahuni kumuomba Mungu lakini walikiwa n barakoa.

Mungu husema kwamba huwa saidia wale wanao jisaidia. Sio ukae kizembe useme Mungu ata tenda.

Mwambieni Jpm aende Serengeti akae kati ya kundi la simba amuombe Mungu wasimle. Mambo mengine hayahitaji elimu wa shule ya msingi.
 
Ninasikitika kwamba watu wanaanza kumpuuzia, na hii kwangu sioni kama ni picha nzuri kupuuziwa na wananchi wako, kuwa kiongozi mimi natafsiri kwamba ni kuwaongoza wenzako, hasa kwenye situation kama hii, watu wanamhitaji kiongozi.
JK ameonyesha mfano pale Karimjee.
 
kuna mtu alisema humu kwamba watanzania wanapenda sana kufa, ila mwisho wa siku lawama kwa magufuli...... sasa kama anaonesha kusarenda raha yako wewe ni nini? tuachage ujinga sometimes..
 
Mungu wangu. Nimecheka kama mazuri vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…