Jinikashkash
JF-Expert Member
- Nov 27, 2020
- 455
- 871
Rudi kwanza shuleni ukajifunze kuandikaAmewahimiza wananchi wake wamtegemee Mwenyezi Mungu na kuachana na chanjo ambazo hazijathibitishwa kuwa zinatibu kwa asilimia miamoja.Inakuwaje unapigwa chanjo zote first dose na second dose halafu bado unatakiwa kupimwa covidi unaposafiri ?
Magufuli yupo sawa, WaTanzania wote waliokumbwa na covid ambao wamefanikiwa kupona,hawakuwahi kupata chanjo ,japo wengine walifikishwa hospitali ,walitumia hizi hizi dawa zetu za kiasili tangawizi,karafuu limau chemsha kunywa baada ya masaa walianza kupata nafuu na kuruka kiunzi cha mauti.
Jambo baya ni kuwa ukipelekwa hospitali basi kutoka hai ni majaliwa,kwani kutumia dawa za asili inakuwa mtihani na jambo la kujificha labda upate daktari mwenye uelewa.
Waulizeni WHO je hio chanjo inatibu korona ? Wasikilize jibu lao.
Jibu ni HAWAJUI hata waoWaulizeni WHO je hio chanjo inatibu korona ? Wasikilize jibu lao.
Mnaandika vitu msivyovielewa kiufasaha,
chanjo yoyote unayoijua HAIJAWAHI kutolewa kama TIBA sehemu yoyote duniani.
Muwe mnajisomea kwanza kabla ya kuandika mambo ya kiaalamu.
Nahisi matabibu wetu watumie hizi dawa za kikwetu kutengeneza kama spray ambazo mtu ataweza kupiga pafu.
Hajawahi kusema hakuna,Amewahimiza wananchi wake wamtegemee Mwenyezi Mungu na kuachana na chanjo ambazo hazijathibitishwa kuwa zinatibu kwa asilimia miamoja.Inakuwaje unapigwa chanjo zote first dose na second dose halafu bado unatakiwa kupimwa covidi unaposafiri ?
Magufuli yupo sawa, WaTanzania wote waliokumbwa na covid ambao wamefanikiwa kupona,hawakuwahi kupata chanjo ,japo wengine walifikishwa hospitali ,walitumia hizi hizi dawa zetu za kiasili tangawizi,karafuu limau chemsha kunywa baada ya masaa walianza kupata nafuu na kuruka kiunzi cha mauti.
Jambo baya ni kuwa ukipelekwa hospitali basi kutoka hai ni majaliwa,kwani kutumia dawa za asili inakuwa mtihani na jambo la kujificha labda upate daktari mwenye uelewa.
Waulizeni WHO je hio chanjo inatibu korona ? Wasikilize jibu lao.
Ni wewe ndiye unayesema haya na sio mimi. Mimi nimeweka tu snapshot ya jibu la WHOKwani ukipata chanjo ya TB, ndiyo inakuwa tiketi ukakae kwenye wagonjwa wa Tb bila kinga?
Ni wewe ndiye unayesema haya na sio mimi. Mimi nimeweka tu snapshot ya jibu la WHO
Nothing has meaning except the meaning you give it. Usifikiri kwa niaba yetu young man. Kila mtu anaweza kutafsiri jambo kivyake..
Fact is hiyo chanjo inayoimbwa na kila mtu bado haijajibu maswali mengi na kwa sasa elewa hivyo
Ndio maana ya kinga,ingawa sijui umeandikaje andikaje .Itakuwa umejichanganya baina ya chanjo na kinga ni vitu viwili tofaouti.Vitu vingine mnaving'ang'ania bila maarifa. Kwani ukipata chanjo ya TB, ndiyo inakuwa tiketi ukakae kwenye wagonjwa wa Tb bila kinga?
Hivi busara na maarifa vimeenda wapi?
Swali la member ilikuwa “je, chanjo inatibu corona”?Hiyo ndo concept ya chanjo, hawajakosea ila kwa asiyejua anaona kama ni weakness kwenye chanjo husika. Hivyo, sioni haja ya hicho kipengele kuwa hoja unless niambie lengo lako kuleta hiyo section nini hasa?
Pole, sayansi haisemi hivyo.Ndio maana ya kinga,ingawa sijui umeandikaje andikaje .Itakuwa umejichanganya baina ya chanjo na kinga ni vitu viwili tofaouti.
Same concept, ila just moving around.Swali la member ilikuwa “je, chanjo inatibu corona”?
Hicho kipengele kilikuwa kinajibu swali la member. Ulipaswa kuisoma hiyo english kwa utulivu.
In a nutshell, hicho kipengele kinajibu swali kwamba chanjo haitreat corona bali inatoa kinga japo haifahamiki hiyo protection itaisha nguvu lini na kwamba unapaswa kupata chanjo 2 ili kuhakikisha protection na kwamba unapaswa kuendelea kuvaa barakoa hata baada ya chanjo😊
Sasa wewe utajaza mwenyewe na kuweka maana zako
Ndio maana ya kinga,ingawa sijui umeandikaje andikaje .Itakuwa umejichanganya baina ya chanjo na kinga ni vitu viwili tofaouti.
Mimi nakwambia si kinga ,hizo za kuzaliwa watoto zote zina asilimia miamoja na zimethibitishwa,hii inakigugumizi tokea huko WHO,mara hii utasikia inaasilimia 78 ya china asilimia 90 kuna mpya ya Russia asilimia 98 kuna nyingi dose moja tu,wanababaika hawajui ipi ni bora na unapoambiwa haijafikisha asilimia mia moja ,ujue ya kuwa lolote laweza kutokea huko twendako,kuna watu baada ya kudungwa wanasema wamepoteza nguvu za kiume !!!Nosense., Nani alisema chanjo ni dawa ya corona? Hizi chanjo wataalam wanasema ni kinga sasa kwann usipimwe ukisafiri, kwan watu wangap wamechoma sindano za kinga ya tetnas, cholera nk, na ukichomwa ni msumari unakimbilia hospital kuangalia tetnas kwann hii corona inajengewa maswali?, kama wewe si muumini wa hizi sindano za kinga kwann watoto wakizaliwa kule hospital kuna utaratibu wa kuchomwa hizi sindano za kinga?
Hakuna cha asilimia mia moja katika chanjo. Kuna mambo mengi ya kuzingatia na uhakikishe yamekwenda 100%. Kama ni hivyo magonjwa yenye chanjo wangekufa wale wasiochanjwa tu.Mimi nakwambia si kinga ,hizo za kuzaliwa watoto zote zina asilimia miamoja na zimethibitishwa,hii inakigugumizi tokea huko WHO,mara hii utasikia inaasilimia 78 ya china asilimia 90 kuna mpya ya Russia asilimia 98 kuna nyingi dose moja tu,wanababaika hawajui ipi ni bora na unapoambiwa haijafikisha asilimia mia moja ,ujue ya kuwa lolote laweza kutokea huko twendako,kuna watu baada ya kudungwa wanasema wamepoteza nguvu za kiume !!!
Uhakika ni tangawizi karafuu na limau na zipo nyingi tu,udi lkaraha na asali imethibitika na ndio watu wengi wanasafiria hio.
Jingine hata ukidungwa hio mnayoita sijui kinga bado uhakika wa kutoikanyaga corona haupo.
Kuna njemba imeuliza kinga ni nini nielewavyo ikiwa kinga inafanya kazi kwa asilimia miamoja basi gonjwa la kinga hio haliwezi kukupata,na tetenas ina muda ,ndio kama uliwahi kudungwa hospitali hukujaribu kwa kukudunga kiduchu tu tena kiduchu sana,kuangalia reaction .
Hapa alisema nini?
Unaelewa tofauti ya tiba na chanjo?Amewahimiza wananchi wake wamtegemee Mwenyezi Mungu na kuachana na chanjo ambazo hazijathibitishwa kuwa zinatibu kwa asilimia miamoja.Inakuwaje unapigwa chanjo zote first dose na second dose halafu bado unatakiwa kupimwa covidi unaposafiri ?
Magufuli yupo sawa, WaTanzania wote waliokumbwa na covid ambao wamefanikiwa kupona,hawakuwahi kupata chanjo ,japo wengine walifikishwa hospitali ,walitumia hizi hizi dawa zetu za kiasili tangawizi,karafuu limau chemsha kunywa baada ya masaa walianza kupata nafuu na kuruka kiunzi cha mauti.
Jambo baya ni kuwa ukipelekwa hospitali basi kutoka hai ni majaliwa,kwani kutumia dawa za asili inakuwa mtihani na jambo la kujificha labda upate daktari mwenye uelewa.
Waulizeni WHO je hio chanjo inatibu korona ? Wasikilize jibu lao.
Tunasema tena kwa kilugha chetu kabisa ,Kinga ni bora kuliko tiba,Hapo utamuelewa vizuri Mheshimiwa Magufuli.Unaelewa tofauti ya tiba na chanjo?
Tusubiri Mungu aondoe covid. Tuzidishe maombiHapa alisema nini?
Tusubiri Mungu aondoe covid. Tuzidishe maombi