Jinikashkash
JF-Expert Member
- Nov 27, 2020
- 455
- 871
Akili zenu wengine mnazijua wenyewe
Mara chungu nzima Jiwe amedai kuishinda corona na hata kupewa nishani na kanisa moja.
Kitendo Cha kuwadhihaki wanao vaa barakoa akiwemo Spika kinaonyesha wazi kuwa ana amini kuwa ugonjwa haupo.
Kuhusu chanjo, sidhani "PhD 😅" yake ya korosho inampa jeuri ya kuwa mtaalamu wa virusi vinavyo umiza watu wala uthabiti wa chanjo yoyote