Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mnazika wenyewe kama kawaida au taratibu za mazishi zikoje?Nilipoteza shemeji yangu wa karibu na hii kitu na hapa tuna msiba wa Mama wa rafiki yangu mazishi keshokutwa. Kama wewe hujaguswa, kaa kimya tu hutapoteza chochote. Tuendelee kuchukua tahadhari.
Taratibu za maziko zilikuaje au hamkupewa muongozo katika kuzika?Nimefiwa na ndugu zangu 3 from decembar na january kubwana pumzi
nimependa avatar yakoSerikali isisitize kuvaa barakoa lkn zile za kushona kwa fundi pekee.
Lkn pia utaratibu wa kunawa mokono ni ustaarabu wa kawaida haikupaswa kuudiscourage
hauna akili ww!.Nahisi kuna ka movement cha wafanyabiashara na mabeberu wanaotaka kuirudisha covid 19 kwa kasi ili wapige hela.
SIO KWA TANZANIA YA LEO...WATAKWAMA
Jan 1 2021: Kifo cha baba mdogo, upumuaji.
Jan 14 2021 Kifo cha babu, upumuaji.
Wote walisaidiwa na mashine kupumua nyakati za mwisho za uhai wao.
ALLAH awarehemu.
Never argue with a foolNdugu zako wamekufa wangapi, mbona hamna anayejibu hili swali mnakwepa kwepa tuu na story za vijiweni??????
Kila mtu aweke data hapa tufikie conclusion, sio sijui maDR wa wapi wanasema bla bla. Mambo hayaendeshwi hivyo.
Nawe unachochea mjadala kwani umekuja bila suluhishoTatizo la kila mtu anataka kumuaminisha mwenzake badala ya kujadiliana kwa hoja. Mtu anataka kukuaminisha hakuna hali ya kuwa hatupimi corona na kutoa takwimu ili kuthibitisha kweli hakuna,mwengine nae anakwambia corona ipo na watu wanakufa halafu ushahidi hana anabaki kusema Tz sio kisiwa.
We jinga kweli kweli kama corona hakuna wale watu mnaowapima Kyle mabibo kwa usd 100 kila mmoja mnawapima nn? Mimba au kifaransa?Nahisi kuna ka movement cha wafanyabiashara na mabeberu wanaotaka kuirudisha covid 19 kwa kasi ili wapige hela.
SIO KWA TANZANIA YA LEO...WATAKWAMA
Utakuja vp na suluhisho wakati kila upande umeshikilia imani yake,ukijaribu kuhoji tu mtu anakwambia we ushadanganywa na Magufuli anakuona ni mjinga Au mwengine anakuuliza kwani we ushazika ndugu wangapi kwa corona. Na tatizo nyuma ya hii mada kuna siasa ndani yake,sasa hapo utawaeleza nini?Nawe unachochea mjadala kwani umekuja bila suluhisho
Kuna mwanasiasa amechukua nafasi ya wataalamu kuwaamisleed wanyongeNa kwanini uchagua kuamini?
Kama corona ipo na hadi majirani zetu inawasumbua kwanini ukubali kuamini mtu akikwambia Tz haipo? kwanini hadi mtu akuaminishe kuwa Corona ipo Tz na watu wanakufa wakati balaa la Corona linajulikana na wezi kuficha?
Subiri uugue. Tusiandikie mate.Imeshangata family members au jirani zako wangapi?? Labda tuanzie hapo. Nadhani kila mtu aanzie kwa immediate family members na sio hadithi za sijui mtaani wanasema nini, kama mtaani ipo na familia zetu pia zipo huko huko mtaani so hawawezi ugua au kufa bila sisi kujua
Sasa unajuaje corona haipo?Nimeona nyuzi nyingi humu zinaelezea uwepo wa corona Tz kwa habari za kusikia tu kwa watu zenye et et nyingi zisizokua na uhakika. Acheni kuleta taharuki nyie watu corona Tz haipo na watu hawajaanza kufa leo wala jana pia kwa hao wanaokufa hakuna uthibitisho wa kidaktari kua wamekufa kwa corona ni hisia za nyie wapenda hofu zisizo na msingi tu.
CORONA HAIPO NCHINI
Nawasilisha
Kabisa mkuu vyuoni kuna misongamano mikubwa mno isiyofuata tahadhari yoyote full kukumbatiana na kisses kibao kwa wapendanaoMatango pori ni mengi humu.. vyuoni na mashuleni tungekua tusha sikia vifo uko
Hakuna vifo vilivyothibitishwa kua vimetokana na corona hata mimi na watu walionizunguka hakuna hata dalili ya corona miongoni mwetu sijuiSasa unajuaje corona haipo?