sijitambulishi
Member
- Nov 5, 2010
- 34
- 55
Hilo nalitambua, hata nchi nyingi zimefanya hivyo.. In total, about asilimia 10 ya vifo vilivyotajwa kama ni vya corona haviendani na corona na wala sio corona..Una habari kwamba idara ya afya US almost kila aliyekuwa akifariki hospital, maawani wa afya walikuwa wakielekezwa kuwa-list kama wafu wa kovidi!???
zipo hospitali ambazo zilipoona fursa ya corona zikasema na zenyewe zitangaze wanaokufa huko kwa corona ili wapate kuangaliwa na kuongezewa vifaa.. Hizo hatupingi.. Ila tufike sehemu tuseme corona ipo..
Numbers do lie.. katika nchi inayojali watu wake na uongozi usiowazia uchumi kabla ya afya, kufa mtu mmoja ni kifo kikubwa kama wangekufa milioni..
tukiweka principal za ecology tutasema kufa kwao kunaendana na wanaozaliwa, lakini hii ni nguvu kazi ambayo imesaidiwa na serikali kwa njia moja au nyingine mpaka hapo ilipofika na ni jukumu (kwakuwa tunachangia kodi) la serikali kuwalinda..