Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona Covid anafanya come back ya nguvu😬😬😬Hii ngoma ni balaah hakuna kwenda kutibiwa ulaya wala nini , masikini na tajiri wote tunachangamana Hapa Hapa bongo, kwel tumepatikana
Unajua nini? Trump alifanya ujinga huu huu wa kutotoa mwongozo kuhusu juhudi za kujikinga mpaka mambo yakaharibika sana. Serikali ikiri kuwa Korona ipo na itamke wazi kuanzia sasa:
1. Kila mtu avae barakoa
2. Asichangamane na watu kila inapowezekana. Ikibidi kuchangamana basi kuwe na umbali angalau wa futi sita kati ya mtu na mtu kila inapowezekana.
3. Sanitizer kila mahali.
4. Watu wahimizwe kuwa waangalifu mf. kuacha kushikana mikono hovyo hovyo, kutorundikana kwenye mazishi na ikiwezekana wazee wajitenge na wasichangamane na vijana na watoto.
Na juhudi zingine za kawaida kama hayo malimau, tangawizi na nyungu kama zinasaidia kuwaondolea watu hofu hata kama ni placebo effects tu.
Barakoa na hatua zingine zinasaidia na kufanya kazi vizuri kama kila mtu atazifuata; na hili haliwezekani bila mwongozo wa serikali.
Inasemekana Trump angetoa mwongozo kama huu mapema angeweza kuokoa zaidi ya nusu ya watu waliofariki na Korona ambao wanakaribia laki 5 mpaka sasa.
Hata sisi hatujachelewa. Bado tunaweza kuzuia baadhi ya vifo kwa watu wetu vinginevyo tunakoenda hali itakuwa mbaya sana na tutachekwa na dunia nzima.
Na tuchague chanjo moja tuifanyie majaribio haraka tukijiridhisha basi watu wetu wachanjwe mara moja. This is ridiculous [emoji51][emoji51][emoji51]
Tuuze nchi tugawane mahelaAu mnasemaje?
Tuuze nchi tugawane mahela
Tokkujikingao Machimboni mwaya....
Mtu aliyewaaminisha watanzania Corona haipo...
Juzi kati akawavimbia wazungu kuhusu chanjo....
Tusiangalie tutaonekaje mbele ya jumuia ya mataifa..
Bali tuangalie maisha ya watanzania yanavyowekwa rehani na mtu mmoja,
Lets face it, statement za mkuu Rais zinafanya more damage,sio kwenye image yetu wa tanzania bali kwetu sisi wenyewe kwa wenyewe maambukizi ya covid-19
Yeye ni msomi wa kiwango cha uprofesa; tafiti hupingwa na tafiti
Sio unaamka asubuhi na kuropoka,
Anyway tuwache hayo,
Janga ndio limeshatukuta,
What is the way foward? (michango yenuhapa inahitajika).
i just think president Magufuli atoke huko aliko auhudhurie mazishi ya makamu wa kwanza wa Rais Seif Hamad aliyefariki kwa Covid
Aseme Tanzania kuna Corona,tujikinge na atoe guidelines
Just to honour him, kifo chake ki save maisha ya watanzania wengine........
Au mnasemaje?
Becky
Yaani itakua powa sana
Hakuna nchi inayofanania kithamani na Tanzania karibia na dunia mzima,Tuuze nchi tugawane mahela
Kutoka 14:8-9,13-14Kutoka 14:8
Bwana akaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu zaidi.