Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuwa umeweka na picha embu mwangalie Mhe utuambie Ni kitu gani alichonacho hapo ambacho si Cha kununua dukani (kuletewa kutoka kwa mabeberu?)...Anza miwani, nguo, Mike, kalamu nk. Ni kipi hakitoki kwa mzungu?!!! mswaki alotumia, Colgate, sabuni, Taulo nk. Hivi mzungu akitaka kutulisha sumu Ni mpaka atumie barakoa kweli?!!! Mtu mwenye uwezo wa kupeleka chombo Hadi sayari ya mars na anakiendesha kutokea huku duniani hivi mtu Kama huyo akiamua kutufanyizia umafia Ni Hadi atumie barakoa?!!
Vita vya kiuchumi ndio Nini hasa?
Hivi umemwelewa mtoa Uzi? Au ndo nyie kila kitu kudandia.Vibaraka wa mabeberu hao, Wana hasira kali, wanamsagia meno lakini amewapa za uso: Huko wanakojua zaidi kuvaa barakoa na kufanya lockdown huko ndiko yametokea madhara makubwa kwa maana ya vifo na kiasi cha maambukizi kuliko kwetu tulioamua kumtanguliza Mungu mbele kwanza kabla ya tahadhari ( siyo bila ya tahadhari).
True, but thats abstract!... at relativistic speeds one 60 minute hour could shrink into a 30 minute hour making an earthly day a 48 hour day!
WE'RE ON THE RIGHT TRACK INDEED!
👊 😅✌️💥
Wewe data zako za maambukizi ziko wapi?Vibaraka wa mabeberu hao, Wana hasira kali, wanamsagia meno lakini amewapa za uso: Huko wanakojua zaidi kuvaa barakoa na kufanya lockdown huko ndiko yametokea madhara makubwa kwa maana ya vifo na kiasi cha maambukizi kuliko kwetu tulioamua kumtanguliza Mungu mbele kwanza kabla ya tahadhari ( siyo bila ya tahadhari).
Na wewe mtoto wa Pwagu mawazo yako?hata haueleweki, utakuwa mtoto wa mama wewe!
No!in the wrong direction.