Serikali iwe makini wanaofundisha watoto kupigana na kutumia silaha sijui wanajiandaa na nini

Ni kweli alijua Yale mateso yatakuwa makali na Kwa Sababu alikuwa katika mwili aliongea Ivo but hujamalizia alisema mapenzi ya Mungu yatimie.but all in all hakuomba wamtetee wanadamu
Kama hakuomba wamtetee,,mbona Yuda anamwita msaliti.Kwa maana alitaka Yuda amtetee, badala ya kumsaliti.
 
Leo asubuhi nadhani wasafi radio kuna mtu alikuwa anazungumza nahisi ni mtu wa usalama akasema kuna vijana 14(kumi na nne) wamewakamata walikuwa wamshasajiliwa Al-shabaab.
 
Dini ya shetani inawaza mapigano kila wakati ndio maana mnajilipua kila siku
Anaejilipua hana dini au haielewi vizuri dini.
Wenye dini yao wanaelewa wameelekezwa WASIDHULUMU Wala WASIKUBALI KUDHULUMIWA.

Kuchokoza~NO
Kujilinda na kujitetea~ YES
 
Anaejilipua hana dini au haielewi vizuri dini.
Wenye dini yao wanaelewa wameelekezwa WASIDHULUMU Wala WASIKUBALI KUDHULUMIWA.

Kuchokoza~NO
Kujilinda na kujitetea~ YES
Dini ya vita
 
kitu kikubwa san akuelewa ni kwamba, nchi hii walinzi ni sisi wananchi, serikali muda mwingi huwa imelala.
 
Ni ngumu sana kukubadilisha fikra, mmeshakuwa brain washed tangu mkiwa watoto.
 
Comment nzuri sana hii
 
Wapi ulikuta Mkristo analazimisha mtu kuwa Mkristo.
 
Halafu cha kushangaza Ulaya na Marekani kule kwa walezi wa Imani yenu ndio wanarasimisha kabisa kisheria kulawitiana iwe ni ruksa
Imani yetu inatokea YERUSALEMU(ISRAEL) na ikakulia ROMA(ITALIA) na ndiyo makao makuu ya Papa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…