Serikali iwe makini wanaofundisha watoto kupigana na kutumia silaha sijui wanajiandaa na nini

Serikali iwe makini wanaofundisha watoto kupigana na kutumia silaha sijui wanajiandaa na nini

Ni kweli alijua Yale mateso yatakuwa makali na Kwa Sababu alikuwa katika mwili aliongea Ivo but hujamalizia alisema mapenzi ya Mungu yatimie.but all in all hakuomba wamtetee wanadamu
Kama hakuomba wamtetee,,mbona Yuda anamwita msaliti.Kwa maana alitaka Yuda amtetee, badala ya kumsaliti.
 
Leo asubuhi nadhani wasafi radio kuna mtu alikuwa anazungumza nahisi ni mtu wa usalama akasema kuna vijana 14(kumi na nne) wamewakamata walikuwa wamshasajiliwa Al-shabaab.
 
Dini ya shetani inawaza mapigano kila wakati ndio maana mnajilipua kila siku
Anaejilipua hana dini au haielewi vizuri dini.
Wenye dini yao wanaelewa wameelekezwa WASIDHULUMU Wala WASIKUBALI KUDHULUMIWA.

Kuchokoza~NO
Kujilinda na kujitetea~ YES
 
Anaejilipua hana dini au haielewi vizuri dini.
Wenye dini yao wanaelewa wameelekezwa WASIDHULUMU Wala WASIKUBALI KUDHULUMIWA.

Kuchokoza~NO
Kujilinda na kujitetea~ YES
Dini ya vita
 
Vitengo vyetu vya usalama vifanye kazi kwa weledi msije shtuka wakati mmesha chelewa.

Shule nyingi zinafundisha watoto kupigana ngumi, Karate na kutumia silaha za jadi na baadhi wanatoa hata maelekezo ya silaha za moto huenda.

Sasa wanajiandaa na nini? Na maandalizi yao wapo very secret na mazoezi mengine wanafanyia maporini kabisa ,wanajiandaa na nini hawa?

Maana unaweza dhani hizi kauli za kina mwaipopo , na yule Sheikh wa Mwanza zinakuja kwa bahati mbaya kumbe wana uhakika wana kikosi kazi cha kupambana hivyo wanaanza choko choko.

NAWASILISHA
kitu kikubwa san akuelewa ni kwamba, nchi hii walinzi ni sisi wananchi, serikali muda mwingi huwa imelala.
 
Ni ngumu sana kukubadilisha fikra, mmeshakuwa brain washed tangu mkiwa watoto.
 
Kwenye hayo mambo amini usiamini jeshi la polisi na usalama wa taifa ni wabobezi mno.

Bongo ukitaka kujua vyombo vya dola viko macho basi jaribu ugaidi au ujambazi wa kutumia silaha, utazimwa kama mshumaa.

USIJARIBU! wazazi leeni watoto wenu vizuri. Wale majamaa wa operations hawana mzaha hata kidogo.
Comment nzuri sana hii
 
Haya ndio maisha yenye YESU ?KILA SIKU KUBAGUANA?KUFITINISHANA?WATU KIBAO HUMU NDANI WANATETEA DINI ZAO..WAISLAM WANATETEANA HATA KWA UPUMBAVU..WAKRISTO PIA HIVYOHIVYO...YAANI DINI NDIO KIPAUMBELE KULIKO UKWELI,KULIKO UPENDO BAINA YETU..
UNALIKUTA JITU LINASHUPAZA SHINGO..KUTETEA DINI YAKE HUKU NI LIFISADI,LILEVI LICHAWI..
Wapi ulikuta Mkristo analazimisha mtu kuwa Mkristo.
 
Halafu cha kushangaza Ulaya na Marekani kule kwa walezi wa Imani yenu ndio wanarasimisha kabisa kisheria kulawitiana iwe ni ruksa
Imani yetu inatokea YERUSALEMU(ISRAEL) na ikakulia ROMA(ITALIA) na ndiyo makao makuu ya Papa.
 
Back
Top Bottom