Serikali kufanya maadhimisho ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani

Taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, ndugu Gerson Msigwa inasema kuwa serikali kuadhimisha mwaka mmoja wa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan toka alivyoingia madarakani 19/03/2021 kufuatia kifo cha Rais John Magufuli.

Katika maadhimisho hayo kutakuwa na shughuli mbalimbali zitakazofanywa na Mawaziri na watendaji wakuu wa serikali ikiwemo pia kutembelea miradi ya maendeleo.

View attachment 2134444
Chawa ni wabunifu sana wa upigaji , hongereni chawa wote mlioko serikalini
 
Mbona yote haya yanafanyika Tanganyika kwani zenji haipp Tanzania..huko nako serikali ya JMT imefanya nini?..ndani ya mwaka mmoja huu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chawa ni wabunifu sana wa upigaji , hongereni chawa wote mlioko serikalini
2991488_images_7.jpeg
 
Mkuu hujaskia kama kuna Trn 17... point kadhaa toka Dubai?

Ova..[emoji41]
Nasubiri kauli yake ya "Tumepata vijisent kidogo kutoka nchi ya Falme za kiarabu"
 
Taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, ndugu Gerson Msigwa inasema kuwa serikali kuadhimisha mwaka mmoja wa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan toka alivyoingia madarakani 19/03/2021 kufuatia kifo cha Rais John Magufuli.

Katika maadhimisho hayo kutakuwa na shughuli mbalimbali zitakazofanywa na Mawaziri na watendaji wakuu wa serikali ikiwemo pia kutembelea miradi ya maendeleo.

View attachment 2134444
This is wrong pamoja sijawahi kumkubali Magufuli Ila hii sherehe ni dhihaka. It's wrong.
 
Chawa ni wabunifu sana wa upigaji , hongereni chawa wote mlioko serikalini

Rais makini asingeruhusu utumiaji wa fedha za Serikali kwa shuhuri ambazo wananchi wataziona kama kweli zina manufaa kwao. Kama Samia anafanya kazi ya kutukuka msingepaswa kutumia nguvu za ziada kumuuza angeuzika bila matumizi haya ya kipigaji kwani wajajnja wanafaidika na uchawa wa namna hii!!
 
2960219_IMG-20211010-WA0032.jpg
 
Matokeo haraka yatakuja kama una CLEAR vision ya nini unataka na utafikaje uendako!!! Kukusanya mikataba tu sio vision unaweza kuwa unakusanya pesa halafu mchwa wanakula kama hivi hawa wanaopanga kufanya maadhimisho yasiyo na tija!!

Sijui kama wataalam wake wamemwambia kuwa hivi sasa 40% ya Mapato ya nchi yanatumika to service the NATIONAL DEBT!! Please educate her what this means to the well being of the country!!!! Mama kuwa mkali kwa matumizi ya kipuuzi ya fedha; mtangulizi wako alikuwa anafuta hata sherehe za kitaifa kuokoa fedha!
 
Mmeanza uchawa, hayo maadhimisho yanatusaia nn sasa
Mkuu Unapolaumu mtu kuwa chawa wa serikali wewe unataka wawe chawa wa babu yako ambaye Yuko nanjilinji Hana mbele Wala nyuma,damu Hana kabaki mifupa ,atawalisha nini hao chawa?
 
Sisi wananchi tunampongeza sana Rais wetu Samia kwa uongozi mahiri na makini sana.
tumeona busara zake na hekima ktk kuliongoza Taifa letu.
tunamuombea kwa Mungu azidi kumpa afya njema, Hekima na Busara ktk kuliongoza Taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais wetu na watendaji wake.
Amen!
 
Taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, ndugu Gerson Msigwa inasema kuwa serikali kuadhimisha mwaka mmoja wa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan toka alivyoingia madarakani 19/03/2021 kufuatia kifo cha Rais John Magufuli.

Katika maadhimisho hayo kutakuwa na shughuli mbalimbali zitakazofanywa na Mawaziri na watendaji wakuu wa serikali ikiwemo pia kutembelea miradi ya maendeleo.

View attachment 2134444
Hivi Serikali na wapambe wake hufikilia kweli,maazimisho ya mwaka mmoja so what, ni kwa lipi,na nini umuhim wake? 2025 itawatoa roho na hampati ,ole wenu mkaibe kura mtakumbana na vikwazo vya Urusi Cha mtoto,dunia ipo na mtenda haki ,chini ya USA
 
Msigwa anapambana kuhakikisha bado anakuwa relevant, anyways vipi kumbukumbu ya Jiwe kuondoka?
Daa afrika bana.

Akikaa kimya mnakuja ooh msemaji wa serikali azungumzii kichwa cha train kama is fake au tumepigwa nk, haya yeye katoa taarifa mnamsimanga, do!
 
Hivi Serikali na wapambe wake hufikilia kweli,maazimisho ya mwaka mmoja so what, ni kwa lipi,na nini umuhim wake? 2025 itawatoa roho na hampati ,ole wenu mkaibe kura mtakumbana na vikwazo vya Urusi Cha mtoto,dunia ipo na mtenda haki ,chini ya USA
Kwa tume hii mbovu watapita kama mshale
 
Mkuu Unapolaumu mtu kuwa chawa wa serikali wewe unataka wawe chawa wa babu yako ambaye Yuko nanjilinji Hana mbele Wala nyuma,damu Hana kabaki mifupa ,atawalisha nini hao chawa?
Watu wengine huwa wanaamini kwamba pesa ya serikali haina mwenyewe na kwamba ukiipiga pesa ya serikali hata dhambi hupati maana hujamdhulumu MTU, lo ! Salaaleeh!! MNAJIDANGANYA !! HIZO PESA MPAKA MTOTO AMBAYE BADO YUPO TUMBONI ZINAMHUSU !! WAPIGAJI WAMUOGOPE MUNGU !!!
 
Back
Top Bottom