Serikali kufanya maadhimisho ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani

Serikali kufanya maadhimisho ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani

Eti mama kaifungulia nchi kimataifa. Sawa, lakini mbona hamsemi nani kaifunga nchi kimataifa?
Mlimsifia sana Magu hadi mkawa mnamuita mungu, leo mnataka kumsifu Samia kwa kumponda magu lakini mnashindwa kutamka wazi kwa majina.
UNAFIKI UMEWAJAA HAKUNA MFANO
 
Hii nchi ukifa kwa pressure umeamua mwenyewe
giphy.gif
 
Mkuu Unapolaumu mtu kuwa chawa wa serikali wewe unataka wawe chawa wa babu yako ambaye Yuko nanjilinji Hana mbele Wala nyuma,damu Hana kabaki mifupa ,atawalisha nini hao chawa?
Mkianza kuwasifia watawala kwa wajibu wao watalewa sifa kisha watavamiwa na ugonjwa wa watawala wa kiafrica then tuzidi kuwa masikini.
Sifa ni kwa ajili ya watoto wadogo na unamatured and uncivilized people kama wewe.
 
Mlivyokuwa mnamsifia magufuli humu mitandaoni alikuwa mtoto mdogo!!?
 
Nwakamoja wa maafa
ma iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, ndugu Gerson Msigwa inasema kuwa serikali kuadhimisha mwaka mmoja wa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan toka alivyoingia madarakani 19/03/2021 kufuatia kifo cha Rais John Magufuli.

Katika maadhimisho hayo kutakuwa na shughuli mbalimbali zitakazofanywa na Mawaziri na watendaji wakuu wa serikali ikiwemo pia kutembelea miradi ya maendeleo.

View attachment 2134444
Ni mwaka mmoja wa maafa, nchi imeuzwa, lake oil inapanuka kwa kasi ya ajabu na mafisadi papa yanalamba teuzi nafasi nyeti
 
Wanasema kasaini mukataba ya tilioni 17 lakini hatujui itakuwa ya uzalishaji nini au itakua na ajira ngapi?
Tunasubili tuone labda tutapumua.
Kweli ngoja tusubiri mrejesho kutoka huko.
 
Taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, ndugu Gerson Msigwa inasema kuwa serikali kuadhimisha mwaka mmoja wa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan toka alivyoingia madarakani 19/03/2021 kufuatia kifo cha Rais John Magufuli.

Katika maadhimisho hayo kutakuwa na shughuli mbalimbali zitakazofanywa na Mawaziri na watendaji wakuu wa serikali ikiwemo pia kutembelea miradi ya maendeleo.

View attachment 2134444
Hawa wanaadhimisha na kupongezana kwa kifo cha JPM. Hawana lolote[emoji17][emoji17]
 
Back
Top Bottom