Serikali kufanya maadhimisho ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani

Serikali kufanya maadhimisho ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani

Taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, ndugu Gerson Msigwa inasema kuwa serikali kuadhimisha mwaka mmoja wa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan toka alivyoingia madarakani 19/03/2021 kufuatia kifo cha Rais John Magufuli.

Katika maadhimisho hayo kutakuwa na shughuli mbalimbali zitakazofanywa na Mawaziri na watendaji wakuu wa serikali ikiwemo pia kutembelea miradi ya maendeleo.

View attachment 2134444
Mbna Sion Miradi ya kimkakati ya jk hydro power na SGR ambayo ina impact kubwa
 
Kufanya maadhimisho haya ni sawa sawa na kusheherekea kifo cha mwendazake
 
Back
Top Bottom