Mkianza kuwasifia watawala kwa wajibu wao watalewa sifa kisha watavamiwa na ugonjwa wa watawala wa kiafrica then tuzidi kuwa masikini.Mkuu Unapolaumu mtu kuwa chawa wa serikali wewe unataka wawe chawa wa babu yako ambaye Yuko nanjilinji Hana mbele Wala nyuma,damu Hana kabaki mifupa ,atawalisha nini hao chawa?
Fanya kazi halali dada,usisubiri serikali ikuletee ugali,Kwanza Dubai katuletea nini huyu mama yetu.
Mlivyokuwa mnamsifia magufuli humu mitandaoni alikuwa mtoto mdogo!!?Mkianza kuwasifia watawala kwa wajibu wao watalewa sifa kisha watavamiwa na ugonjwa wa watawala wa kiafrica then tuzidi kuwa masikini.
Sifa ni kwa ajili ya watoto wadogo na unamatured and uncivilized people kama wewe.
Wewe wasemaMlivyokuwa mnamsifia magufuli humu mitandaoni alikuwa mtoto mdogo!!?
Ijulikane hakuna katiba mpya plus tume huru hakuna uchaguzi, lakini waliozoea vya kunyonga hata penye tume huru waweza fanya Mambo ya ajabu ,hapo ndo watua hawajuiKwa tume hii mbovu watapita kama mshale
CCM ni hatari snIjulikane hakuna katiba mpya plus tume huru hakuna uchaguzi, lakini waliozoea vya kunyonga hata penye tume huru waweza fanya Mambo ya ajabu ,hapo ndo watua hawajui
Ni mwaka mmoja wa maafa, nchi imeuzwa, lake oil inapanuka kwa kasi ya ajabu na mafisadi papa yanalamba teuzi nafasi nyetima iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, ndugu Gerson Msigwa inasema kuwa serikali kuadhimisha mwaka mmoja wa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan toka alivyoingia madarakani 19/03/2021 kufuatia kifo cha Rais John Magufuli.
Katika maadhimisho hayo kutakuwa na shughuli mbalimbali zitakazofanywa na Mawaziri na watendaji wakuu wa serikali ikiwemo pia kutembelea miradi ya maendeleo.
View attachment 2134444
Mkuu hujaskia kama kuna Trn 17... point kadhaa toka Dubai?
Ova..[emoji41]
Sawa shangazi nimekuelewa dada ake ake baba.Fanya kazi halali dada,usisubiri serikali ikuletee ugali,
Samia anachanja mbuga huko,
Kweli ngoja tusubiri mrejesho kutoka huko.Wanasema kasaini mukataba ya tilioni 17 lakini hatujui itakuwa ya uzalishaji nini au itakua na ajira ngapi?
Tunasubili tuone labda tutapumua.
nguoKwanza Dubai katuletea nini huyu mama yetu.
Labda ya kukimbiza mwengeKwa bajeti ipi wakuu;
Fedha zenyewe tunakopa.
achukie kwani hii nchi yakwake?Yaani mshaanza na besidei jamani tena? Mzilankende atakuwa amechukia huko
Mbona kama tunapigwa na kitu kizito.Ni wamasai kuondolewa Ngorongoro
Hawa wanaadhimisha na kupongezana kwa kifo cha JPM. Hawana lolote[emoji17][emoji17]Taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, ndugu Gerson Msigwa inasema kuwa serikali kuadhimisha mwaka mmoja wa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan toka alivyoingia madarakani 19/03/2021 kufuatia kifo cha Rais John Magufuli.
Katika maadhimisho hayo kutakuwa na shughuli mbalimbali zitakazofanywa na Mawaziri na watendaji wakuu wa serikali ikiwemo pia kutembelea miradi ya maendeleo.
View attachment 2134444