Serikali kufanya maadhimisho ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani

Urais ndio kazi yake kama ilivyo kwa wabunge madaktari na walimu au wakuu wa mikoa , hivi kila mfanyakazi akitaka kufanyiwa au kufanya sherehe ya kutimiza mwaka au miaka kadhaa kazini itakuwa nchi au kijiwe.
Huu ni utaratibu wa kirais au kisheria au mbwembwe au mi ndiye sielewielewi .
Kwakweli kuna mambo yanaudhi na kukera
 
Wanawake Kwa kupenda sherehe!!!
 
Maza naye anapenda publicity kama mtangulizi wake.

Au ndiyo njia za kufunika mwaka moja tangu Mwendazake atutoke ...!!
 
Msisahau bia zigawiwe Bure kufurahia kifo Cha shetani magufuli.

Siku anakufa tulikuwa mahabusu, kifo chake takaachiwa huru.

Kifupi italuwa ni wiki ya kufurahia kifo Cha magu
 
Kwahiyo maadhimisho ya mwaka mmoja tangu jiwe kafariki mmeyatupilia mbali?
 
Too much sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…