Serikali kuja na mradi wa Dola bilioni 1.9 kutatua tatizo Umeme

Hii inasikitisha sana, kama wataalam tunao, contracts tunao, wakaguzi tunao, visibility study imefanyika, na wote wanalipwa....
Hivi kwanini haya mambo hayatokei huko nchi zilizo endelea...??
Huko kungine kuna mifumo ya kiutendaji, sisi wakati wa awamu ya 5, tulikuwa na Rais tu. Mifumo yote ilikufa.
 
Yule swahiba wake aliyeuza gas kule Mtwara anataka kutuvurugia mstakabali wa nchi, naye alikuja kihivi matokeo gas imeota mbawa
Usalama wa nchi utakuwepo siku huyo makamba na huyo swahiba wake wakiondoka, hasa huyo swahiba.
Gesi yetu atupige, halafu anaendelea kutuchafulia nchi kiasi hicho?
 
Usalama wa nchi utakuwepo siku huyo makamba na huyo swahiba wake wakiondoka, hasa huyo swahiba.
Gesi yetu atupige, halafu anaendelea kutuchafulia nchi kiasi hicho?
Sad hana utu kabisa, ila ipo siku yatawatokea puani
 
Acha taarifa za kuukoteza ili kubeba matamanio yako.
 
Acha taarifa za kuukoteza ili kubeba matamanio yako.
Taarifa nime okoteza wapi nimekuwekea na reference haya hiyo yako ambayo si ya kuokoteza ikiwa na reference kutoka kwenye chanzo cha uhakika ipo wapi?.
 
Acha hizi tabia watu wanapojadili Mambo muhimu kwa mustakabali wa nchi
 
Acha waibe ila tuishi kwa uhuru, tumeishi miaka 5 ya mateso huku tunaibiwa na kupigwa juu. Bora waibe sisi tuishi maisha ya amani, haya wanayoiba hawaendi nayo peponi.
Utaibiwa mpaka mke! wevi sio watu wazuri ukatae
 
Taarifa nime okoteza wapi nimekuwekea na reference haya hiyo yako ambayo si ya kuokoteza ikiwa na reference kutoka kwenye chanzo cha uhakika ipo wapi?.

Unasema mradi wa JHNNP ni 5t wakati ni zaidi ya 8t, na bado unataka niamini hivyo vyanzo vyako! Bomba la gas mpaka kufika Dar lilikuwa ni $1.3b, sawa na 3t tukapata 450mg, na lengo ilikuwa kufikia 5,000mg. Sasa unaposema mradi wa gas ni 70t kwani ni fedha zetu au za wawekezaji?
 
Nimemsikiliza Lissu akiuponda mradi wa bwawa la Nyerere sikuamini kama ni yeye anaongea kwa arguments zile! Hii nchi imeoza aisee!
 
Upande wa pili, acheni watu wale mifuko ilikauka nchi inafunguka mtaani pesa isambae, do!.
 
Waziri Makamba amesema wanakuja na mradi wa Dola billioni 1.9 kutatua tatizo.

Nauliza huu mradi ameukuta ofisini au umebuniwa ndani ya hii miezi yake 4.

Kama hajaukuta umepitishwa na bajeti ipi?

Acha waibe ila tuishi kwa uhuru, tumeishi miaka 5 ya mateso huku tunaibiwa na kupigwa juu. Bora waibe sisi tuishi maisha ya amani, haya wanayoiba hawaendi nayo peponi.
Huna lolote ndiyo wale wale
 
Ushajiuliza huyo mwekezaji 70tn atairudisha vipi na kwa miaka mingapi? Huwezi fananisha hela ya kwako na ya mwekezaji,hela ya mwekezaji huwezi kuicontrol bei ataamua na kupanga yy gesi aiuze kwa shilingi ngapi.

Bwawa la Nyerere gharama zake sio 8tn,hata ikiwa 8tn je ni sawa 70tn ambayo hapo ni uchimbaji, bado hutengeneza miundo mbinu ya kuichakata hiyo mitambo, hapo bado kusambaza hayo mabomba, ikiwe mpaka kufika dar 1.3tn, vip kwa mikoa mingine bado hatuja zungumzia mitambo kuichakata hiyo gesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…