Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

Natamani Waziri wa afya ndo angeenda kuwapokea.
 
Wanafikili tutaugua sisi kajambanani peke yetu Uzuri Corona haichagui kama madoctor wa huko nao wamekufa.
 
Kwanza umewai kusikia wapi mtu mwenye ngozi nyeusi anakufa kwa mafua au umewai sikia wapi mtu mweusi aliyeko uko chini amekufa kwa korona zaidi ya kuonekana ana ugonjwa huo lkn hawezi kufa.mtu ametujalia wetu weusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huwezi jua labda tz tuna waganga wa jadi professional corona itapitia wapi wakati bima za afya(hirizi) zimepachikwa mipakani
 
Waacheni waje tugawane nao umaskini...ila wakumbuke tu kwamba sisi ni dona kantri...hao mabeberu hawatuwezi..mbona wameshindwa kutuzuia kuwaleta wachina wetu aka wadau wapya wa maendeleo...dadadeki.
 
Kwanza umewai kusikia wapi mtu mwenye ngozi nyeusi anakufa kwa mafua au umewai sikia wapi mtu mweusi aliyeko uko chini amekufa kwa korona zaidi ya kuonekana ana ugonjwa huo lkn hawezi kufa.mtu ametujalia wetu weusi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni hivyo why wale wanafunzi wa Tanzania wamezuiwa kurudi Tanzania
 
Laiti ugonjwa ungeanzia Africa naamini China wasingeruhusu Ngozi nyeusi kukanyaga kwao hata wangekua wanaenda kutalii
Ngozi nyeusi ki asili huwa anafikiria ya leo ila ya kesho hayamuhusu kabisa.
 
Anza kuwaza kuzuia nzige Kwanzaa mkuu
 
Watu wanafanya masikhara na maisha ya watu nyie
Regardless kuwa uzi wa mtoa mada ni sahihi au sio sahihi hatua kali inabidi zichukulie

Leo waziri wa Afya wa Iran anautangazia umma kuwa hakuna Corona Iran
Kesho anakua victim wa ugonjwa huo huo

Ni virus ambao hawajui kucheka na Mtu
Nasikitwisha na comments za kitoto za baadhi ya watu humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…