Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo tupange nikukanyage na gari langu siku zako zifike uende kwa allahItabidi tuzuwie wa watu wa nchi nyingi duniani wasije, kwani corona kwa sasa hayupo China pekee.
Wacha waje tu. Kifo nini kifo tu iwe cha Corona au Malaria au Ukimwi au kingine chochote kile. Zote ni sababu tu.
Rudini kwa Allah mjisalimishe kwake, kifo tunatembea nacho, usikiogope. Kama si leo, kesho.
Acha tu mkuu!Naunga mkono hoja, but it's very unfortunately, beggars can not be chooses!.
when your too poor na kazi yako kubwa is just to beg, wewe you just beg and you can't say no to anything however how small or risky it is, to you its money first, even just a small change, you can't say mo, you just say yes to everything!. Hizi ndizo gharama za umasikini.
P
JF ni social forum, tukakata tuu issues, professional ya mtu na usomi wa mtu sio issue humu, issue humu ni hoja tuu, kuna wasomi tena wa Ph.D na wanamwaga pumba, na ma darasa la saba tuu lakini wanamwaga nondo.wewe wa shule ya kata , wapo sana wasomi humu. Nawewe umekengeuka juzi , (ulikuwa msomi), kama walivyo wengi ukimwondoa Zito na Mbowe and some few others,
Hata kama kifo ni kifo uislam unazingatia na tahadhari piaItabidi tuzuwie wa watu wa nchi nyingi duniani wasije, kwani corona kwa sasa hayupo China pekee.
Wacha waje tu. Kifo nini kifo tu iwe cha Corona au Malaria au Ukimwi au kingine chochote kile. Zote ni sababu tu.
Rudini kwa Allah mjisalimishe kwake, kifo tunatembea nacho, usikiogope. Kama si leo, kesho.
Hizi ni statement za watu ambao hawakusoma science at advanced/college lvel!Uhai umeumbwa, na kifo pia kimeumbwa
Mkuu paskali amekua mtumwa siku nyingi sana.asikusumbue kichwa.hapo anataka ujinga uone ni kitu cha maanaHuwezi kuwa darasa la saba ukawa na issue, labda useme hizo issue unazitolea kwa wajinga, mazuzu wenzako na wanaziona za maana kwa vile reasoning yao imeishia hapo! kama lilivyo bunge la ndugai. Wote mle ni wajinga, mazuzuz etc! Kama ulisikiliza debate za impeachment ya Trump ndiyo utaona tofauti ya wasomi na wajinga kama nyie!
Kuna watu wa ku skip post zao. You are right!Mkuu paskali amekua mtumwa siku nyingi sana.asikusumbue kichwa.hapo anataka ujinga uone ni kitu cha maana
It's true, mimi science niliagana nayo O level.Hizi ni statement za watu ambao hawakusoma science at advanced/college lvel!
Not only skipping, jf ina kitufe cha ignore, ukikibofya, hutaona tena contents za usiotaka kuwasoma.Kuna watu wa ku skip post zao. You are right!
Naunga mkono hoja, but it's very unfortunately, beggars can not be chooses!.
when your too poor na kazi yako kubwa is just to beg, wewe you just beg and you can't say no to anything however how small or risky it is, to you its money first, even just a small change, you can't say mo, you just say yes to everything!. Hizi ndizo gharama za umasikini.
P
Haswa wewe. msaliti tuliyekutegemea utoe challenges, leo unatafuta uDC.Not only skipping, jf ina kitufe cha ignore, ukikibofya, hutaona tena contents za usiotaka kuwasoma.
P
Wote wanaodhania mimi natafuta uDC, huwa siwajibu, kwasababu uwezo wao wa kusoma na kuelewa ndio umeishia hapo.Haswa wewe. msaliti tuliyekutegemea utoe challenges, leo unatafuta uDC.
Uhai umeumbwa, na kifo pia kimeumbwa tena uliisha andikiwa ile siku unazaliwa, hivyo kama uliandikiwa utakufa kwa Corona, utakufa kwa Corona na huwezi kuzuia kifo.
Hebu acheni hao Wachina na wengine wote waje kutuletea hizo forex tunazo hitaji sana.
P