pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Aliyetuloga alishakufa na kaburi lake halijulikani lilipo tungeenda kulilia kuomba toba!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefikia KIA baada ya mlipuko wa ugonjwa wa CORONA? Mimi nimepita na wahudumu wote wamevaa Mask ila DAR ndio sikuwaona na MASK
Ushauri hasa kwa upande wa AIRPORT zetu ni nini?Mask sio issue kumbuka hata Madaktari wanao watibu wagonjwa huvaa Mask na bado wanakufa we unazani hizo mask watavaa siku zote hao wachina wakifika huku watavaa siku zote? Ulisha wahi kuwaza kwa mfani ile nyomi ya kkoo kama ugonjwa ukilipuka nn kitatokea?
Sent using Jamii Forums mobile app
pamoja na nia njema, lkn ni hatari sana kuwapokea , kuna andishi linasema on average incubation period ya hao virus ni siku 14 lkn imegundulika kuwa inaweza kwenda hadi siku 24 , hivyo mtu anaweza pimwa leo akaonekana hana lkn baada ya 10 days ikaibukaNi picha ya leo,Pope aliahirisha misa juu alikua na tatizo dogo la kiafya
kweli mkuuTena msiwe na wasiwasi magonjwa mengine ni ya wazungu tuu!.
P
Na atakaetangaza kuwa ipo, atapewa kesi ya uhujumu uchumi na kosa la kutakatisha 'ile kitu' itamhu!Kuna nchi fulani ya Afrika mashariki ikigundua uwepo wa corona itaficha, wala haitatangaza![emoji12][emoji12][emoji12]
Ugonjwa wa Corona umezidi kusambaa kwa kasi na kuingia kwenye nchi nyingi duniani licha ya tahadhari kubwa na teknolojia ya hali ya juu ya kuchuja wageni
Baada ya kuona ugon jwa huu haudhibitiki kirahisi sasa imepelekea nchi nyingi kukata mawasiliano kabisa na nchi zenye maambukizi makubwa ya ugonjwa huu kama China, Iran, Italia, Japan na Korea
Hata hivyo Tanzania haina habari, Tanzania imezidi kupokea watalii kutoka China huku ikijidai kuwa haijali raia anatokea wapi kwa kuwa ipo vizuri kwenye kujilinda
Hiki ni kichekesho ukizingatia facilities na teknolojia za Tanzania ukizilinganisha na nchi nyingine duniani ambazo zimefunga kabisa usafiri na nchi athirika kwa hofu ya kuenea ugonjwa huu,
nchi kama Urusi ambayo ni mshirika mkubwa wa China imepiga marufuku raia wote kutoka China sababu ya ugonjwa huu ambao aambukizi yake hayaonekani mpaka zipite siku 14, nchi nyingine zilizopiga marufuku kabisa raia wa China ni Australia, Singapore, Iran, Ufilipino, New Zealand n.k
Nchi nyingine zimefika mbali zaidi kwa kupiga marufuku kabisa hata raia wa nchi nyingine ambaye aliwahi kwenda China siku za karibuni
Nchi kama Saudi Arabia imesitisha ibada za Hijja ndogo kutokana na hofu ya maambukizi haya, na inaweza kupiga hata marufuku ya Hijja kubwa
Nchi nyingi za kiarabu pia zimekatisha kabisa safari zake na Iran ambayo ina waathirika ambao hawafiki hata 300 kwa hofu ya ugonjwa huu, lakini Tanzania inaruhusu watalii kutoka China kwenye maambukizi ya takribani 80,000
![]()
Countries ban recent travellers from China over coronavirus fears – Business Traveller
A growing number of countries are imposing travel bans on foreign nationals who have travelled to China recently due to the coronavirus outbreakwww.businesstraveller.com
![]()
Coronavirus: Russia bans Chinese nationals from entering country
Russia has taken a drastic step over the COVID-19 coronavirus outbreak.www.euronews.com
![]()
Iran bans Chinese citizens from entering the country: IRNA
Iran has banned Chinese citizens from entering the country, Iranian state news agency IRNA reported on Thursday, amid the spread of the new coronavirus across the Islamic Republic that had killed 26 Iranians.www.reuters.com
![]()
All over the world, countries are imposing travel bans on visitors who’ve been to China
Such bans run counter to official advice from the World Health Organization.qz.com