Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

Kwa taarifa za watu 6 wote wenye korona wanaonekana wamepata ugonjwa nje ya mipaka ya Tanzania. Serikali za canada ..usa..uk wamezuia wananchi wake kutoka au wageni kuingia.

Kwann serikali yetu inaendelea kuwaacha wageni wakija. Au Mnataka kuitumia Hii kisiasa 2020 October. Hivi Ummy na Pm mnaona furaha kuuza sura kwenye tv tu kutupa update zawanaongezeka.

Wanajamii forum tuishinikize serikali isiruhusu watu kutoka au kuingia kwa mwezi 1 lasivyo majuto ni mjukuu. Rais Fanya haraka kabla haijawahi too late. Fungia mwezi 1 tu. Unaweza ruhusu Cargo siyo watu. At the end of the day huu ugonjwa wakubwa duniani wakija.

Ni kweli sana, tunakaa tu kulalama serikali iko na inaendelea tu kuwapokea maelfu toka nje na uwezo wa kuwapima hawana, nadhani pia watanzania tunahusika kwani tumekuwa wapole sana kwa serikali hii, nadhani tungeto a kauli kwa serikali wangetii lkn hawa wa kutoa kauli dhidi ya yzembe huu wa serikali hakuna,

Mungu tubariki kwani serikali sijui imekula mlungula wa hawa wanaoingia nchini mda wote.
 
Kwa taarifa za watu 6 wote wenye korona wanaonekana wamepata ugonjwa nje ya mipaka ya Tanzania. Serikali za canada ..usa..uk wamezuia wananchi wake kutoka au wageni kuingia.

Kwann serikali yetu inaendelea kuwaacha wageni wakija. Au Mnataka kuitumia Hii kisiasa 2020 October. Hivi Ummy na Pm mnaona furaha kuuza sura kwenye tv tu kutupa update zawanaongezeka.

Wanajamii forum tuishinikize serikali isiruhusu watu kutoka au kuingia kwa mwezi 1 lasivyo majuto ni mjukuu. Rais Fanya haraka kabla haijawahi too late. Fungia mwezi 1 tu. Unaweza ruhusu Cargo siyo watu. At the end of the day huu ugonjwa wakubwa duniani wakija.
Ni nchi nyingi sasa zinazuia watu kuingia. Ghana na Cameroon wamefunga mipaka, Rwanda hakuna ndege kuingia kuanzia kesho,Nigeria haitaruhusu wasafiri kutoka nchi 13 kuingia nchini mwao. Leo Australia na New Zealand pia zimetangaza kuzuia wageni kuingia. Na hivi ndivyo unavyopambana na pandemic.
 
Kwa taarifa za watu 6 wote wenye korona wanaonekana wamepata ugonjwa nje ya mipaka ya Tanzania. Serikali za canada ..usa..uk wamezuia wananchi wake kutoka au wageni kuingia.

Kwann serikali yetu inaendelea kuwaacha wageni wakija. Au Mnataka kuitumia Hii kisiasa 2020 October. Hivi Ummy na Pm mnaona furaha kuuza sura kwenye tv tu kutupa update zawanaongezeka.

Wanajamii forum tuishinikize serikali isiruhusu watu kutoka au kuingia kwa mwezi 1 lasivyo majuto ni mjukuu. Rais Fanya haraka kabla haijawahi too late. Fungia mwezi 1 tu. Unaweza ruhusu Cargo siyo watu. At the end of the day huu ugonjwa wakubwa duniani wakija.
Ukijua kuna joka nje ya nyumba yako kinga ili hilo joka lisiingie ndani funga milango kwanza kwa tahadhari ili lisije ingia ndani ndipo ukalisake huko liliko badala ya kupulizia sumu ndani mwako. Sasa sisi tumejikita kunawa mikono na kuvaa 'masks' badala ya kuzuia waingiao.
 
Ninachofikiri kwa nini hawapigi marufuku mipaka na kutoka na kuingia ni kwa sababu ya Fedha, mapene, shillingi.

Kama ulikuwa hujua chanzo pekee kikubwa cha uhakika cha mapato ya serikali ni Utalii kama watalii watazuiwa basi serikali itapoteza pesa nyingi na labda kushindwa kukidhi mahitaji ya msingi.
 
Wengine mpaka train zimesitishwa wao hata ndege wameshindwa
Tatizo kama hili ni lazima updates ziwepo kila siku sio kutoa maneno tu ya hovyo


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Uzuri corona haiangaliii lisura la mtu, cheo, utajiri na umashuhuri wako. Inapitia wote. Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa.Yaani huu ndio uzuri wa Corona, sio kama yale magonjwa yetu yanayoshambuliaga maskini zaidi, kipindupindu, TB, Typhoid etc..
Corona inapindua meza kibabe, inapiga kotekote. Wabunge, mawaziri, matajiri kwenye nchi za wenzetu wameguswa. Waziri mkuu wa Canada imebidi ajiwekee quarantine mwenye, mke wake, Sophie ameupata.
Ni jambo linalotia adabu kwa wote wanaojiona entitled and privileged.
 
March 18, 2020
Published on Journal Science : The effect of travel ban in combating coronavirus vs Mass Testing, Identification and isolation explained in detail :

 
What China’s coronavirus response can teach the rest of the world
In mid-January, Chinese authorities introduced unprecedented measures to contain the virus, stopping movement in and out of Wuhan, the centre of the epidemic, and 15 other cities in Hubei province — home to more than 60 million people. Flights and trains were suspended, and roads were blocked.

Soon after, people in many Chinese cities were told to stay home and venture out only to get food or medical help. Some 760 million people, roughly half the country’s population, were confined to their homes, according to the New York Times.

It’s now two months since the lockdowns began — some of which are still in place — and the number of new cases there is around a couple dozen per day, down from thousands per day at the peak. “These extreme limitations on population movement have been quite successful,” says Michael Osterholm, an infectious-disease scientist at the University of Minnesota in Minneapolis.

In a report released late last month, the World Health Organization congratulated China on a “unique and unprecedented public health response [that] reversed the escalating cases”.

But the crucial question is which interventions in China were the most important in driving down the spread of the virus, says Gabriel Leung, an infectious-disease researcher at the University of Hong Kong. “The countries now facing their first wave [of infections] need to know this,” he says.

Nature talked to epidemiologists about whether the lockdowns really worked, if encouraging people to avoid large gatherings would have been enough, and what other countries can learn from China’s experience.

What happened after the lockdowns?
Before the interventions, scientists estimated that each infected person passed on the coronavirus to more than two others, giving it the potential to spread rapidly. Early models of the disease’s spread, which did not factor in containment efforts, suggested that the virus, called SARS-CoV2, would infect 40% of China’s population — some 500 million people.

But between 16 and 30 January, a period that included the first 7 days of the lockdown, the number of people each infected individual gave the virus to dropped to 1.05, estimates Adam Kucharski, who models infectious-disease spread at the London School of Hygiene and Tropical Medicine. “That was amazing,” he says.

The number of new daily infections in China seems to have peaked on 25 January — just 2 days after Wuhan was locked down.




Why does the coronavirus spread so easily between people?

As of 16 March, roughly 81,000 cases have been reported in China, according to WHO. Some scientists think that many cases there were unreported — either because symptoms were not severe enough for people to seek medical care, or because tests were not carried out. But it seems clear that measures implemented during this time did work, says Christopher Dye, an epidemiologist at the University of Oxford, UK. “Even if there were 20 or 40 times more cases, which seems unlikely, the control measures worked,” says Dye.

Could China’s response have worked better?
Epidemiologists say China’s mammoth response had one glaring flaw: it started too late. In the initial weeks of the outbreak in December and January, Wuhan authorities were slow to report cases of the mysterious infection, which delayed measures to contain it, says Howard Markel, a public-health researcher at the University of Michigan in Ann Arbor. “The delay of China to act is probably responsible for this world event,” says Markel.

A model simulation1 by Lai Shengjie and Andrew Tatem, emerging-disease researchers at the University of Southampton, UK, shows that if China had implemented its control measures a week earlier, it could have prevented 67% of all cases there. Implementing the measures 3 weeks earlier, from the beginning of January, would have cut the number of infections to 5% of the total.

Read more : - What China’s coronavirus response can teach the rest of the world
- Preventing Spread of Disease on Commercial Aircraft: Guidance for Cabin Crew | Quarantine | CDC
 
March 17, 2020

Coronavirus :
How hospitals and clinics can prepare for COVID 19

 
We are always late to the party.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Kama kichwa cha habari hapo juu,kuna uwezekano kabisa tungefunga mipaka na hasa viwanja vya ndege mapema tungekuwa salama na haya maambukuzi ya corona yasingeingia nchini.

Kwa uzoefu wote waliolipotiwa kuwa na hivyo virus kwa hapa Tanzania wote wametokea nje ya Tanzania na wameingia kupitia viwanja vya ndege.

Leo kuna report ya mwanamziki Mwana-FA nae amevipata South Afrika, vile vile kuna manager wa mwanamziki wa Diamond, Salam Sk, naye alikuwa nje ya Tanzania.

Na kuna uwezekano bado wapo wanaoingia/watakaoingia navyo na kuvieneza hapa nchini.

Tungefunga mipaka na viwanja vya ndege kutoka na kuingia, tungekuwa salama na hivi virus. Bahati mbaya sana sisi ni nchi masikini hatuwezi kufunga mipaka na viwanja vya ndege.

Mpaka kufikia hiyo hatua uwe umejitosheleza kwa chakula, vifaa tiba, mafuta ya magari n.k.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatujafunga mipaka, Polepole anasema tukifunga mipaka na kudhibiti watalii nchi itapata marhara makubwa sana.

Kwake yeye Bora Watanzania waugue ila watalii wazidi kuingia, kwake utalii ni Bora kuliko Watanzania. Huyu Ni kiongozi wa chama na msomi anazungumza haya adharani na Hakuna anayetoka serikalini kumpinga wala kukemea. Nchi nyingi zinafunga mipaka yake ila sisi tunafungua kusubiri watalii?

Tanzania ya vitu itateketeza watu, Bora uwe hai ukiwa maskini kuliko kufa kwa uzembe ukiwa tajiri. Polepole unapotumia Kodi za wananchi kuwaangamiza unawakosea.
 
Wacheni woga corona imeshaondoka, maisha mengine yaendelee.
 
Happy ndo tulipofikia km Taifa. Ukikunzwa uchumi kupitia utalii na baada ya uchumi kukua watu wote wameshaisha kea Corona ni bora kuliko watu wabaki maskini.

Anyway ni mitazamo yako na ana uhuru wa kuzungumza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom