Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Binfsi nahisi labda wanataka kutumia hili janga kuairisha uchaguzi.Salary Slip njoo huku tupaze sauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binfsi nahisi labda wanataka kutumia hili janga kuairisha uchaguzi.Salary Slip njoo huku tupaze sauti
Kwa taarifa za watu 6 wote wenye korona wanaonekana wamepata ugonjwa nje ya mipaka ya Tanzania. Serikali za canada ..usa..uk wamezuia wananchi wake kutoka au wageni kuingia.
Kwann serikali yetu inaendelea kuwaacha wageni wakija. Au Mnataka kuitumia Hii kisiasa 2020 October. Hivi Ummy na Pm mnaona furaha kuuza sura kwenye tv tu kutupa update zawanaongezeka.
Wanajamii forum tuishinikize serikali isiruhusu watu kutoka au kuingia kwa mwezi 1 lasivyo majuto ni mjukuu. Rais Fanya haraka kabla haijawahi too late. Fungia mwezi 1 tu. Unaweza ruhusu Cargo siyo watu. At the end of the day huu ugonjwa wakubwa duniani wakija.
Ni nchi nyingi sasa zinazuia watu kuingia. Ghana na Cameroon wamefunga mipaka, Rwanda hakuna ndege kuingia kuanzia kesho,Nigeria haitaruhusu wasafiri kutoka nchi 13 kuingia nchini mwao. Leo Australia na New Zealand pia zimetangaza kuzuia wageni kuingia. Na hivi ndivyo unavyopambana na pandemic.Kwa taarifa za watu 6 wote wenye korona wanaonekana wamepata ugonjwa nje ya mipaka ya Tanzania. Serikali za canada ..usa..uk wamezuia wananchi wake kutoka au wageni kuingia.
Kwann serikali yetu inaendelea kuwaacha wageni wakija. Au Mnataka kuitumia Hii kisiasa 2020 October. Hivi Ummy na Pm mnaona furaha kuuza sura kwenye tv tu kutupa update zawanaongezeka.
Wanajamii forum tuishinikize serikali isiruhusu watu kutoka au kuingia kwa mwezi 1 lasivyo majuto ni mjukuu. Rais Fanya haraka kabla haijawahi too late. Fungia mwezi 1 tu. Unaweza ruhusu Cargo siyo watu. At the end of the day huu ugonjwa wakubwa duniani wakija.
Ukijua kuna joka nje ya nyumba yako kinga ili hilo joka lisiingie ndani funga milango kwanza kwa tahadhari ili lisije ingia ndani ndipo ukalisake huko liliko badala ya kupulizia sumu ndani mwako. Sasa sisi tumejikita kunawa mikono na kuvaa 'masks' badala ya kuzuia waingiao.Kwa taarifa za watu 6 wote wenye korona wanaonekana wamepata ugonjwa nje ya mipaka ya Tanzania. Serikali za canada ..usa..uk wamezuia wananchi wake kutoka au wageni kuingia.
Kwann serikali yetu inaendelea kuwaacha wageni wakija. Au Mnataka kuitumia Hii kisiasa 2020 October. Hivi Ummy na Pm mnaona furaha kuuza sura kwenye tv tu kutupa update zawanaongezeka.
Wanajamii forum tuishinikize serikali isiruhusu watu kutoka au kuingia kwa mwezi 1 lasivyo majuto ni mjukuu. Rais Fanya haraka kabla haijawahi too late. Fungia mwezi 1 tu. Unaweza ruhusu Cargo siyo watu. At the end of the day huu ugonjwa wakubwa duniani wakija.
Ndio mpango waoBinfsi nahisi labda wanataka kutumia hili janga kuairisha uchaguzi.
Kweli kabisa.Yaani huu ndio uzuri wa Corona, sio kama yale magonjwa yetu yanayoshambuliaga maskini zaidi, kipindupindu, TB, Typhoid etc..Uzuri corona haiangaliii lisura la mtu, cheo, utajiri na umashuhuri wako. Inapitia wote. Hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app