Serikali kuwapa watu case za uhaini bado sijibu la Maswali ya DP World! Kuna maswali lazima uyajibu wewe! Usijifiche

Serikali kuwapa watu case za uhaini bado sijibu la Maswali ya DP World! Kuna maswali lazima uyajibu wewe! Usijifiche

Jaman.

Kumbuken hata maneno ya speaker wa bunge yule alio achia ngazi alilalamika sana kukopwa pesa pasipo kuwa na sababu za msingi wakati kuna tozo kibao ambazo zinakusanywa na zinaweza endesha serikali bila shida.

Akasema pesa zinakopwa azionekan znafanya shughuli gani mwisho wa siku bra bra kibao plus kutia nguvu nying kuua legacy ya mtu flan.

NANUKUU ALISEMA; msipo kuwa makini nchi hii inaenda kuuzwa.
Mlimuona fala sana plus kumbeza...sasa aliosema ndo ayanatokea.

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
Kwani mahakama si imejibu maswali yote?
Swali lipi mahakama haikujibu?
Ulisoma hukumu?
Uliielewa hukumu?
Wapi watu hapa JF walielezea hukumu vizuri sana
comte ...huyu Jamaa kaweka uzi za hukumu ziko so clear
Kwa hiyo mahakama ndio imemjibia Mama Samia
 
Jaman.
Kumbuken ata maneno ya speaker wa bunge yule alio achia ngazi alilalamika sana kukopwa pesa pasipo kuwa na sababu za msingi wakati kuna tozo kibao ambazo zinakusanywa na zinaweza endesha serikali bila shida...
Hata mie nilikua sijamuelewa Ndugai Hadi lilipotokeza hili dubwana la Dp world. Inaelekea Ndugai aliliona mezani kwake akalikataa
 
Hata mie nilikua sijamuelewa Ndugai Hadi lilipotokeza hili dubwana la Dp world. Inaelekea Ndugai aliliona mezani kwake akalikataa
Turudi kwa JPM alisema kuna watu wanatamani hata leo nisiwepo na sio kwa lengo zuri wanania mbaya na hii nchi wanataka wafanye madudu

Wamesha zoea kuingia mikataba ya ovyo, wanafanya ya ovyo hawana maslai na nchi hii wana maslai yao binafssi

JPM voice " siku nikifa mtanikumbuka tena mtanikumbuka kwa mazur siyo kwa mabaya"

Aliliona hilo kitambo wenda washaur wake kuna mambo walikuwa wanamletea kwa table ayakumuingua akilini sasa alivo vuta,...
Ikawa mabibi na mabwana sasa ni wakati waaaa.........


Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom