saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
hiyo ni ibara ya huko kwenu, kima weKifungu 4(2) kwamba Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini ndio basi. Yaani nchi huru ikaombe ridhaa Dubai? Tena kwa Mali zake? Lingine, kama mkataba huu ni mzuri, kwa Nini bandari za Zanzibar zisiwemo? Kwani wao hawataki kunufaika?