Serikali kuwapa watu case za uhaini bado sijibu la Maswali ya DP World! Kuna maswali lazima uyajibu wewe! Usijifiche

Serikali kuwapa watu case za uhaini bado sijibu la Maswali ya DP World! Kuna maswali lazima uyajibu wewe! Usijifiche

Kifungu 4(2) kwamba Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini ndio basi. Yaani nchi huru ikaombe ridhaa Dubai? Tena kwa Mali zake? Lingine, kama mkataba huu ni mzuri, kwa Nini bandari za Zanzibar zisiwemo? Kwani wao hawataki kunufaika?
hiyo ni ibara ya huko kwenu, kima we
 
Kwani mahakama ndio iliweka saini kwenye ule mkataba wa hovyo?

Haiwezekani ujinga ufanye wewe, halafu marekebisho ukafanyiwe na mwingine, kumbe wewe ni zezeta?

Say Yes!.
Kweli zezeta hukumu haihusu kilichomo kwenye IGA ila procedure, umemjibu vizuri
 
we bwege hakuna mtu wa kukuelewesha hapa duniani. Mahakama ndio inatafsiri sheria kujua km jambo fulani liko sawa mbele ya sheria au la.
Umesoma hukumu vizuri au umekurupuka tu kutoka usingizini nyie Mapaka
ya CCM mtaimaliza nchi hii kwa kuiuza
 
Kwani mahakama si imejibu maswali yote?
Swali lipi mahakama haikujibu?
Ulisoma hukumu?
Uliielewa hukumu?
Wapi watu hapa JF walielezea hukumu vizuri sana
comte ...huyu Jamaa kaweka uzi za hukumu ziko so clear
Wewe ni tahira zuzu au chizi?,
 
Wanaoafiki wametulizwa, kwa pilato walipokuwa wanajiandaa kurufaa wamehaini na plea bargain zimepandishwa bei, waandamanaji wameshurutiishwa, vyombo vya habari vimeveshwa vitenge.

Halafu tunakwenda majukwaani kutangaza watanganyika wamekubali mkatubaliano.

Tulikuwa tunasema werevu wametufanya wajinga, kwa haya unajiuliza wameamua kujinga nasi upande huu?
 
Sii kweli, kuna mikataba mibovu mara 100 zaidi ya huu ila hatuijui kwasababu haiko wazi!

Watu hao watakuwa ni wajinga, mkataba umewekwa humu na saini za waliosaini zipo!, umeona saini ya Rais Samia?.

Duh...!. Kumbe na wewe uko kwenye kundi hili la hao wajinga?!. Umeona sahihi ya Rais Samia kwenye hiyo IGA?.
P
Kama haiko wazi mmejuaje ?
 
Wewe ndiyo utakuwa na shida maana Padri Slaa kasema wazi dawa ni kuipindua serikali unata vyombo vya usalama vifanyaje?
Weka hiyo clip yenye hayo maneno na isipungue 2 min
 
Hawa hawana maarifa.Wanaotaka kuvuruga amani,wasichekewe.
AMANI ni zao la HAQ HAUI!
Screenshot_20230815_171926.jpg
 
Slaa hajambikiwa kesi ya uhaini kaitafuta mwenyewe kwa mdomo wake
 
Rais haji kujibishana mitandaoni. Sahau.

Majibu yake ni vitendo tu.
 
Back
Top Bottom