Kumbuken hata maneno ya speaker wa bunge yule alio achia ngazi alilalamika sana kukopwa pesa pasipo kuwa na sababu za msingi wakati kuna tozo kibao ambazo zinakusanywa na zinaweza endesha serikali bila shida.
Akasema pesa zinakopwa azionekan znafanya shughuli gani mwisho wa siku bra bra kibao plus kutia nguvu nying kuua legacy ya mtu flan.
NANUKUU ALISEMA; msipo kuwa makini nchi hii inaenda kuuzwa.
Mlimuona fala sana plus kumbeza...sasa aliosema ndo ayanatokea.
Jaman.
Kumbuken ata maneno ya speaker wa bunge yule alio achia ngazi alilalamika sana kukopwa pesa pasipo kuwa na sababu za msingi wakati kuna tozo kibao ambazo zinakusanywa na zinaweza endesha serikali bila shida...
Turudi kwa JPM alisema kuna watu wanatamani hata leo nisiwepo na sio kwa lengo zuri wanania mbaya na hii nchi wanataka wafanye madudu
Wamesha zoea kuingia mikataba ya ovyo, wanafanya ya ovyo hawana maslai na nchi hii wana maslai yao binafssi
JPM voice " siku nikifa mtanikumbuka tena mtanikumbuka kwa mazur siyo kwa mabaya"
Aliliona hilo kitambo wenda washaur wake kuna mambo walikuwa wanamletea kwa table ayakumuingua akilini sasa alivo vuta,...
Ikawa mabibi na mabwana sasa ni wakati waaaa.........