Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Uko sawa kabisa. Always ni vigumu kumpata Criminal, especially hawa ambao wako smart, yaani Cyber Criminals, lakini mini ninachosema ni kwamba haiwezekani criminal akaficha pia location ya pale alipo, assuming anaendelea kufanya mawasiliano kama vile kutuknaa watu kwenye mitandao. Kumpata always ni vigumu lakini kamwe hawezi kuficha location ya mahali alipo na wakati huo huo akiwa anendelea kutumia mawasiliano ya mtandao wa simu, bila kujali antumia VPN ama la, haiwezekani kuficha location
Ni ISP tu anayeweza akaficha location ya user
, lila si user mwenyewe. User anao tu uwezo wa kuhakikisha hakamatwi kirahisi, lakini hana uwezo wa kuficha location yake yeye kama yeye
 
Umewaza kama mimi, ni hatari sana
 
Njia ya kizamani na kijinga, probably haifanyi kazi kwasasa, ndio maana wenye viswaswadu huwez sikia wamekua traced, yani namna ya kumpata mtu kwa njia hii ni mpaka apige simu ipokelewa au apigiwe ipokelewe, huyu mtu uje umpate utatumia mwaka pengine na Zaid na wote mko mkoa mmoja, na utampa endapo kama hajui anafuatiliwa,

Hao ISP sio Alpha na omega, there is always someone who is better than you, haiwezekani watoa wa VPN walipishe wateja wao alafu eti mtu wa tigo hapo akunase, ndoto hiyo

Hata USA yenyewe hua inawapata watuhumiwa kwa msaada wa wamilik wa mitandao ya VPN wenyewe, sio jambo jepesi, na VPN vinazotoa ushirikiano kwa serikali ziko chache mno, hata ukiwapeleka mahakamani bado mtasumbuana mno
 
Pekua pekua
 

mnajifanyaga kujua mambo sana eti eeh?
 
Mkuu, kwa maelezo haya uliyotoa inakuwaje kama mtu atatumia dark web?
 

Na hata hizo VPN zinazo disclose info za users wake ukifatilia utakuta zinamilikiwa 100% na government husika.

Idea iko hivi, ili uweze kuukabili uhalifu lazma uwe sehemu ya uhalifu (It takes a thief to catch a thief).

Serikali za wenzetu zinatengeneza na kumiliki mitandao ya kihalifu kama drugs, cyber crimes nk ili iweze kumonitor hizo shughuli kirahisi. Taifa kama US linafanya sana biashara ya drugs na zile fedha zinainufaisha US kwa kiwango kikubwa sana.

Inapotokea makundi mengine yoyote yanaingia kwenye biashara hiyo kinyume na maslahi ya US wanaishia kudakwa na kupotezwa.

Issues za Cyber crimes pia zinakuwa operated kwa namna hiyo. Wanatengeneza platforms ambazo haziwezi kuwa interfeared na wengine ili kuencourage uhalifu wote ufanyikie humo waweze kuukabili wanapohitaji.

Kwa maneno mengine uhalifu usio na madhara kwao hawahangaiki nao ili kuendelea kujenga trust kwa wahalifu wa mtandao kutumia platform zao waweze kuwamonitor.
 
Uko sahihi, hata me nnavyo fahamu ni kuwa VPN inakuwezesha kuaccess internet kwa kutumia device ya mtu mwingine aliyeko mbali na ulipo na hivyo kufanya usiweze kujulikana uko wapi geographically.

Kibaya zaidi, everytime you access the internet VPN enables you to gain access from a different server in a different location making it hard to identify your true location.
 
au kigogo ndio mange kimambi?
Sidhani mange ni Kilaza ila Ana ushawishi.
Kigogo ni watu wengi. Hata mwandiko unaonyesha. Kuna mmoja a najua Sana vifungu vya Biblia. Kuna mmoja muhuni An MATUSI Sana. Kuna mmoja a napenda Sana soka na hampendi BEKI MAGWAYA [emoji23][emoji23][emoji23] atakuwa shabiki wa liver. Kuna mmoja ni shabiki wa Man City. Kuna mmoja hana ufuatiliaji Sana wa mambo Anaweza posti kitu cha last year bila kujua.
Na Kuna mmoja alivunjiwa nyumba kimara.
Na mwingine mchapiaji Sana.
 
Sasa hapo ulipoandika Mange ni kilaza "Ana" ushawishi,una maanisha "Ana" ushawishi au "Hana" ushawishi?
 

Ha ha ha ha huyo aliyevunjiwa nyumba kimara ana hasira sana na meko [emoji3][emoji3]
 
Njia ya kizamani na kijinga
Ni kweli. Unajua kwa mfano kwa sasa tunakoelekea, teknolojia ikishakuwa juu sana, tutaanza kujenga nyumba ambazo milango yake hatutakuwa tunaitumia tena kutokea nje, ila tutakuwa tunaaacha uwazi juu ya paa halafu tukitaka kutoka nje, tunaruka na drone zetu kutokea ndani kwenda nje. Tutaachana na njia hizi za kijinga za kutokea mlangoni kama ilivyo sasa.
By the way, VPN ina uwezo wa kuficha details za mtandao unaotumia, kwa watu wasiohuiska na mtandao huo tu, yaani ambao siyo ISP wako. VPN haina uwezo wa kuficha details zako kwa ISP wako, na hivyo haina uwezo wa kuficha location ya mahali ulipokuwa wakati unafanya mawasiliano. VPN itakusaidia tu kutokukamatwa kirahisi, lakin haiwezi ikakufanya usikamatwe
 
kwaiyo unazungumziaje swala la profesa kigogo serikali kushindwa kumkamata mpaka leo hii?
 
kwaiyo unazungumziaje swala la profesa kigogo serikali kushindwa kumkamata mpaka leo hii?
Hii thread inaonyesha kama inahusiana na mtu kama huyo ila sisi kwa sasa mjadala wetu unahusu namna mawasiliano ya mitandao ya Kompyuta pamoja na simu za mkononi, yanavyofanya kazi! Si unajua tena thread zetu humu mara nyingi huwa zinaanza na kitu hiki halafu zinageuka na kuingia kwenye kitu kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…