Serikali: Watumiaji wa Daraja la Tanzanite, Barabara ya haraka Kibaha - Morogoro, Igawa - Songwe -Tunduma kuanza kulipia ushuru

Itajengwa barabara mpya dual carriage way na itakuwa expressway na ni barabara ya Kimataifa..

Pili barabara ya zamani itaendelea kuwepo kwa ajili ya nyie mafukara [emoji23][emoji23]

Baba yako ndo fukara, usingekua chawa humu ndani. Tutafuta pesa watoto wako wasirithi tabia yako ya uchawa
 

Nchi ya ajabu sana hiii, tuna mbuga, madini, gas, bandari lakn sasa mwananchi anakamuliwa
 
Baba yako ndo fukara, usingekua chawa humu ndani. Tutafuta pesa watoto wako wasirithi tabia yako ya uchawa
Kuwa chawa Nako ni kutafuta pesa, unadhani kutafuta pesa ni mpaka upande juu nguzo za umeme kufunga mawaya?

Fukara mna njia zenu,shobo kwenye njia za wenye pesa za nini? Mnamlilia nani? Waliloeni waliowazaa kuwa mafukara.
 
Tuseme tu ukweli Dr. Madelu ni kiumbe mwenye roho mbaya sana. Tangu ateuliwe kuwa Waziri wa Fedha, amekuja na kodi lukuki za kuwaumiza tu watu wa chini na wale wa kati!...
Unawapigia kelele walamba asali

Kaa kwa kutulia
 
Leseni za TV, baiskeli na redio to follow!
 
Kuwa chawa Nako ni kutafuta pesa, unadhani kutafuta pesa ni mpaka upande juu nguzo za umeme kufunga mawaya?

Fukara mna njia zenu,shobo kwenye njia za wenye pesa za nini? Mnamlilia nani? Waliloeni waliowazaa kuwa mafukara.
Sio muda utaliwa boga na utajitetea unatafuta pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madaraja ni sehemu ya barabara sasa inakuwaje tena tulipie wakati tayari kwenye mafuta kumewekwa tozo. Hiyo ni sawa na mtu ajenge nyumba halafu aweke kodi ya milango kuwa ili uingie ndani lazima ulipie mlangoni
 
Duniani watu wanalipia hata Jirani zetu Kenya wana Barabara za kulipia
 

Waache wakurupuke tu na miradi isiyokua na upembuzi yakinifu, to cut it short ni kwamba sasa rasm foleni ya al hassan mwinyi road inarudi kutoka namanga ama morroco hadi past selander bridge. Hawatujui waswahili hawa
 
Hakuna kitu kama hicho,kule Kigamboni unalipia mpaka sasa kaharibiwa nani?

Toll road ni jambo la kawaida tuu na ziko Nchi nyingi hapa Afrika kuanzia Kenya, Senegal, Africa Kusini nk
But huo mpango unakuaje uje ghafla,unajua nyerere bridge tulifahamu ni la kulipia toka kitu kipo under construction, iweje Tanzanite na kibaha highway ghafla tu mtu kakaa kwake na mkewe aamue ziwe za kulipia, tupunguze kupinga kila kitu na tupunguze kuunga mkono kila kitu hata kama mmepuyanga, wewe kila siku tunawacheka wakenya kule kulipia express way kwenye ule uzi, huku unakuja kuunga mkono!wewe jamaa .....
 
Mama akija kushtuka mwigulu anamuharibia itakua tayari too late
Hii ni Ile hadithi ya kijiti na karoti;. 1)road toll TU basi.... 2)latra TU basi.... 3)tarura TU basi.... 4)stand fee TU basi.. 5)parking fee TU basi..
6)express fee TU basi..
7)fuel price TU basi.... 8)traffic fine TU basi...
.others.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…