Serikali ya CCM mmeamua kutusaliti wananchi, Tunaenda kukumbwa na njaa kubwa hali ni mbaya

Kumbuka kwamba kama wewe unavyofanya biasha upate faida, kilimo nacho ni biashara. Elewa kwamba sasa ni fursa ya mkulima kupata faida. Zingatia mkulima siyo punda wa taifa. Kama unaona vipi acha kupiga soga hapo mjini nenda kajilimie chakula chako.
Uliwahi kuona kwa macho wapi mkulima analima alafu anauza mpaka mbegu?.
 
Kama serikali au kuna mtu ana hofu kuwa kitendo chochote cha bei ya mahindi kupanda kitaleta tabu au njaa kwa wananchi, atenge fedha ya ruzuku wanunuzi wananchi wapate nafuu.

Mimi nilime mahindi huko Songea ndanindani kwa adha kubwa nikivuna mtu mwingine anatamani nipate bei ndogo eti wengine wapate nafuu.

Je kwa uwingi wetu tukisusa kulima mahindi ya ziada mtatulazimisha?

Mnajua gharama ya kuzalisha kilo moja ni shilingi ngapi?
 
Kama mkulima ameuza chakula chote kwa bei ndogo hilo ni tatizo lake. Sisi tusichotaka ni yeye kuzuiwa kuuza atakapo kwa faida au bei yoyote aitakayo.
Nijuavyo Mimi hakuna mkulima ambaye huwa haweki akiba ya chakula !! Labda mvua zichelewe kunyesha mpaka chakula alichokiweka kimuishie !!
 
Kabisa, kuna watu wanasema eti wakulima wanauza chakula chote hadi watakosa. Kama mtu anauza chakula chote huo ni ujinga na tatizo lake. Hao hawana tofauti na watu wanaotumia mishahara yao yote bila kuweka akiba. Uzembe wa mtu isiwe kisingizio cha watu kuuza mazao yao.
 
Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Imeamua kwa makusudi kutuacha watanzania na kuangali maslai yao

Hali ni mbaya sana mtaani vyakula bei hazishikiki

Vyakula vinavushwa mipakani na kwenda nje ya nchi sisi hatupati

imefika hatua sasaivi mabwenyenye wananunua mzigo bado upo shambani wanavuna na kupeleka nje ya nchi, Kilimanjaro kuna njaa lakini mahindi yanapitia hapohapo kwenda kenya

Sasaivi unga wa sembe kilo moja 2000 hii haijawai kutokea kabisa

mchele 2400 kilo

Serikali ipo kimya tu wao wanahela za kula

CCM imeamua kutusaliti, sasaivi sokoni hatuoni mahindi yanatoka kwenye stock yanawekwa kwenye maroli yanavuka boda

tukisema hivi wanaona kama tunatania maana wao hali ya mtaani hawaijui

Sawa bwana
tangu lini ccm waliwajali watanzania? ccm wao wanajilimbikizia mali na vizazi vyao. tuendelee kuisoma namba
 
mama anaburuzwa tu yeye anaandaliwa ziara za nje zisizokuwa na tija akirudi ikulu anakula vizuri hata hajui maisha ya wananchi yanaendaje
Kwanini viongozi wameziba masikio ??//mama funga mipaka wananchi watakufa njaa , ???????/// tutakufukuza kazi kabla 2025 pamoja na timu yako kama hautachukua hatua za haraka ........
 
Tulishauri mwaka huu mavuno ni kidogo wafunge mipaka kwani hata soko la ndani tu linatosha wakashupaza vichwa vyao, mavuno yakiwa mengi watu wauze nje ni sawa lakini mwaka wenye mavuno kidogo nao wauze nje kipindi chote hapana, Burundi kuuza mahindi, maharage, mtama na muhogo ni uhujumu uchumi kwa sasa, uganda kazuia hakuna kuuza chochote nje isipokua ni ruhusa kununua, na kuingiza ndani, Rwanda kazuia kabisa hakuna kutoa hata kiazi, wizara ya kilimo ipo ipo tu imekalia siasa, hakuna usalama kama nchi haina chakula cha kutosha na mkumbuke dunia nzima mavuno kwa mwaka ulioisha yalikua hafifu sana, viongozi hawachukui maamuzi simply sababu wao na familia zao njaa haitowakumba.
Licha ya yote but Kilimo ni biashara acha wakulma nao wapige hela.Bado watu wanaendelea kuvuna muda huu.Sio kila siku wao ndio wawe wahanga wa kuonewa tuu
 
Tumekwisha
Wakulima hao wanauza sasa hivi chakula baada miezi michahche ijayo watalilia serikali iwape chakula cha msaada ??/Food security is the issue related to National security hakuna mzaha katika hilo Serikali ya CCM ifunge mipaka now hatuhitaji maafa ......
 
Hapo 'ujamaa' umeingiaje kama siyo kupungukiwa akili kichwani.

Kwani hujasoma ilani ya CCM ujue wanatawalaje?

1
ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020
SURA YA KWANZA
UTANGULIZI
1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa vyama vya TANU
na ASP na baadae CCM, imejengwa katika misingi ya ujamaa na kujitegemea
inayozingatia utu, usawa na haki. Misingi hii imeimarishwa na siasa safi na
uongozi bora wa CCM na imekuwa ndio nguzo ya kudumisha amani, umoja
na mshikamano wa kitaifa. CCM itaendelea kuzisimamia Serikali zake
kuhakikisha kuwa zinazingatia, kulinda na kudumisha misingi hii adhimu.
 
Kwa hiyo hapo wewe unaona "ujamaa", lakini huna macho ya kuona "uongozi mbovu" ulioandikwa vile vile katika aya hiyo uliyonukuu?
Ukiambiwa una akili kama za panzi unalalamika?
 
Viongozi tumebadili mara 6, Ujamaa ndiyo haujabadilika. Ujamaa ndiyo umetukwamisha.
 
Nenda kamuulize 'Roast au moduji' kama watakwambia kuna 'ujamaa' hapa!

Kila mara nakusoma na kuona una mawazo ya ajabu sana. Hivi unadhani kujipachika jina la 'Bepari' ndiyo kutakufanya ujue uhusiano wake na maendeleo ya nchi?
 
Tulishauri mwaka huu mavuno ni kidogo wafunge mipaka kwani hata soko la ndani tu linatosha wakashupaza vichwa vyao, mavuno yakiwa mengi watu wauze nje ni sawa lakini mwaka wenye mavuno kidogo nao wauze nje kipindi chote hapana, Burundi kuuza mahindi, maharage, mtama na muhogo ni uhujumu uchumi kwa sasa, uganda kazuia hakuna kuuza chochote nje isipokua ni ruhusa kununua, na kuingiza ndani, Rwanda kazuia kabisa hakuna kutoa hata kiazi, wizara ya kilimo ipo ipo tu imekalia siasa, hakuna usalama kama nchi haina chakula cha kutosha na mkumbuke dunia nzima mavuno kwa mwaka ulioisha yalikua hafifu sana, viongozi hawachukui maamuzi simply sababu wao na familia zao njaa haitowakumba.
Mnataka wenzenu wasio na ardhi wafe wakati wana pesa zao? Acheni kukalisha matako. Tumeni hela vijijini wazazi na wengineo wakalime muache kulia lia
 
Kama unafikiri ni rahisi nenda kalime na wewe, wacha watu wapige pesa ni jasho lao
Watu wa dar hawataki kabisa kufukuza vijana wasio na kazi majumbani wanabaki kulia lia tu wakati wazee wanataabika na jembe. Ukienda sua mtu amemaljza shule ya kil8mo eti anaangaika mitaani kutafuta kazi badala ya kuunda kikundi wakaanzisha kilinmo na mikopo ikawakuta katikati
 
Nenda kamuulize 'Roast au moduji' kama watakwambia kuna 'ujamaa' hapa!

Kila mara nakusoma na kuona una mawazo ya ajabu sana. Hivi unadhani kujipachika jina la 'Bepari' ndiyo kutakufanya ujue uhusiano wake na maendeleo ya nchi?

Sasa ujamaa si huo umeandikwa kwenye ilani ya CCM? Kwa nini nikawaulize wengine?

Halafu unajua hao unaowataja familia zao zina hela kabla hata ya nchi haijapata uhuru? Na walikuwa na hela hata enzi za Nyerere ambaye ndiye alileta Ujamaa?
 
Kumbuka kwamba kama wewe unavyofanya biasha upate faida, kilimo nacho ni biashara. Elewa kwamba sasa ni fursa ya mkulima kupata faida. Zingatia mkulima siyo punda wa taifa. Kama unaona vipi acha kupiga soga hapo mjini nenda kajilimie chakula chako.
Umefunga mjadala
 
Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Imeamua kwa makusudi kutuacha watanzania na kuangali maslai yao

Hali ni mbaya sana mtaani vyakula bei hazishikiki

Vyakula vinavushwa mipakani na kwenda nje ya nchi sisi hatupati

imefika hatua sasaivi mabwenyenye wananunua mzigo bado upo shambani wanavuna na kupeleka nje ya nchi, Kilimanjaro kuna njaa lakini mahindi yanapitia hapohapo kwenda kenya

Sasaivi unga wa sembe kilo moja 2000 hii haijawai kutokea kabisa

mchele 2400 kilo

Serikali ipo kimya tu wao wanahela za kula

CCM imeamua kutusaliti, sasaivi sokoni hatuoni mahindi yanatoka kwenye stock yanawekwa kwenye maroli yanavuka boda

tukisema hivi wanaona kama tunatania maana wao hali ya mtaani hawaijui

Sawa bwana
Kalime ili usinunue chakula kwa bei za kupangiwa yaani walime wengine uwapangie wewe.? Kama ilivyo biashara acha wakulima wapate nao faida. Wakulima wenyewe hawajavuna kwa wingi sababu mvua hamna mwaka huu. Sasa wewe sijui akili zako ziko wapi mkuu. Ila nenda shambani ukashike jembe ujue utamu wa kulima na uchungu wake afu aje mtu akupangie bei upate hasara ndjo utajua kuwa wakulima wanalima nao ili wapate faida.
 
Sasa ujamaa si huo umeandikwa kwenye ilani ya CCM? Kwa nini nikawaulize wengine?

Halafu unajua hao unaowataja familia zao zina hela kabla hata ya nchi haijapata uhuru? Na walikuwa na hela hata enzi za Nyerere ambaye ndiye alileta Ujamaa?
Aiisee, kweli wewe ni (sijui nisemeje?), sitaki nionekane ninakushambulia; lakini ukweli ni kwamba ufahamu wako ni mdogo sana. Hao Roast na MoDew familia zao zilikuwa tajiri? Nani alikwambia hilo?

Halafu unasema hata wakati wa Mwalimu Nyerere walikuwa matajiri, kwa hiyo siyo ujamaa unaozuia watu kuwa matajiri basi. Tafuta sababu nyingine.

Inaonekana huna msingi wowote wa ufahamu wa 'ujamaa' au 'upepari' vinahusu nini; ila unajua tu kuimba maneno hayo bila ya kujua tafsiri zake ni nini.
 
Kama familia zao zilikuwa hazina hela walisomeshaje watoto wao International school? Ujamaa ni sumu ambayo Nyerere asingetulisha hao wakina Rostam na Dewji wangekuwa wengi sana wanatengeneza ajira. Kumbuka wengi walikimbia nchi baada ya Azimio la Arusha. Waliobaki walijitahidi kuendesha biashara zao na ndiyo hao wakina Mo na Rostam.
 
Back
Top Bottom