Serikali yaanza uchunguzi wanafunzi kufundishwa ulawiti

Wataje shule na walimu ili zibaki magofu
Mzee HIMARS vp, umeshamaliza ya Urussi sasa unataka kuja kuteketeza mashule huku nyumbani? Hahahaaa πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜€
BTW hili suala limekuzwa na kutiliwa chumvi mno zaidi ya ukweli ulivyo. Watu wamelishabikia sana jambo ambalo ni Fununu/Tetesi kana kwamba wamefanya uchunguzi na kujiridhisha pasi na shaka kabisa kwamba watoto (wanafunzi) wanafundishwa mambo hayo ya kulawitiana. Mathalani kama inavyoonekana ktk picha iliyoambatanishwa: LGBT ni ufupisho wa Lesbian, Gay, Bisexual, and Transgender . Hiyo habari ya kufundishwa kulawitiana inatoka wapi? Je, si Haki ya mwanafunzi ajue na atambue kuna hali hizo katika jamii anamoishi na walioko miongoni mwa makundi hayo asiwanyanyapae (Stigmatize) ni watu kama yeye na wana Haki zao Kulindwa, Kuishi, n.k. halafu ajiepushe na Ushawishi wowote kujiunga au kujiingiza huko kwenye makundi hayo na akatae ushawishi wa namna hiyo ??. Mara nyingi tunavuna tulichopanda halafu baadaye tunaanza kulia-lia. Kwa mfano ulio wazi kabisa - Wazazi hawawaambii watoto wao mtoto anapatikanaje -wanawadanganya (wanaambia uongo) eti tumeenda kuomba kwa bibi, tumenunua Hospitali n.k. Baadaye Mtoto huyo-huyo anapocheza na wenzake au akiwa shuleni huko ndipo anapopata habari (ZA UKWELI) kuhusu dukuduku zake nyingi ambazo alifichwa na wazazi wake. (Samahani kama nitakuwa nimewakwaza baadhi ya wazazi, lakini ninaamini Waalimu (esp.Primary level) watanielewa)
Kwa msomaji yoyote atakayebahatika kupitia commenti yangu hii:- Niwaombe tu kwa roho nyeupe kabisa na kwa msisitizo, Jamani tuache UNAFIKI narudia tena TUACHE UNAFIKI kwani tukatae -tukubali hayo makundi tajwa hapo juu YAPO na YATAENDELEA kuwepo na labda YATAONGEZEKA muda tunavyoendelea. Kwani nyie mnaoyazungumza hayo mliyajuaje na hata mmefikia mahali pa kuwatambua tena kwa majina na mahali wanapoishi?. Umshukuru Mungu wako kwamba wewe sio miongoni mwao na mwanao pia hajajiunga huko. Lakini usiwanyooshee kidole, Kuwabeza, Kuwahukumu au Kuwalaani waliomo humo.
Shida iliyopo kwa sasa hapa e.g. Tz ni kwamba makundi hayo hayajatambulika na Serikali au Kurasimishwa (kitu ambacho kitapelekea Kuwekwa Sheria ya Kuwalinda na Kuwahifadhi) japo Yapo lakini kwa KIFICHO.
Nipo hapa jamani ni Ruksa kunikosoa ila niombe tu matusi na jazba zisiwepo. Nitajitahidi kukujibu kadri nitakavyojaliwa. Haya kazi kwenu. Asanteni
 
Huwezi kutatua tatizo kwa kujifanya kuwa halipo. (By Nyerere).

Hakuna shule inaweza kufundisha KULAWITIANA.

KULAWITIANA ni kosa la jinai na kosa la kimaadili. Sio Kweli.

Kama shule inafundisha kuhusu UWEPO WA USHOGA katika jamii, Yes why not? Kwani ushoga haupo? Kwanini wasifundishwe kuhusu uwepo wake?

Kujificha ficha hakuwezi kutatua tatizo. ANIKA MAMBO YOTE KAMA YALIVYO. FACE THE REALITY AND FACE THE WORLD.
 
Hapa hakuna haja ya uchunguzi, ni kukamata wahiska wote wakiwemo wamiliki wa shule na wafanyakazi wao na kuweka ndani, adhabu kali otolewe ili iwe fundisho
 
Inaonekana uchunguzi wao walifanyia mkoa wa Kilimanjaro
 
Ila tumekaa tunabishana wakati hakuna mtu aliyeleta taarifa kamili zaidi ya kichwa Cha habari watoto kufundisha kulawitiana mashuleni
 
😁..umenichekesha sana.
Yaani unasema kuna siku wachaga wote wataweka mikono kichwani na kujutia majigambo yao!!

Hiyo siku haipo, utakufa bila kuiona.
Watu wameamka sasa elimu kila mkoa ipo, tabia mbovu za kichaga zinatapaa kwa kasi, mfano mm zaman niliwakubali sana wachaga kwakweli sikujua undani wao kwa sasa na wachukia kama mbwa koko.
Kinachofuata itafika wakati mtaogopa hata kujitamburisha kuwa ni wachaga.
Mnayofanya sasa athar amtaiona sasa ila vizaz venu vitakuwa na kibarua kigumu sana cha kujisafisha.
 
Wew tu ndo uko insecure...hakuna mtu anayeweza kuchukia kabila la mtu...for what..so..ili iweje...


Nyinyi tu ndo hamjiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…