Serikali yafuta mapendekezo ya kuzifanyia Marekebisho ya Sheria zinazohusu Umiliki wa Maliasili

Serikali yafuta mapendekezo ya kuzifanyia Marekebisho ya Sheria zinazohusu Umiliki wa Maliasili

TEC kama TEC wame wafikia... wapo wiki ya Pili zimebakia wiki nne...

Nazani somo lina waingia taratibu huko madhabauni🤣
Muone mjinga huyu.

TEC wanahusikaje hapo? Hata mimi niliwasilisha maoni yangu bungeni kuwa hakuna haja ya kufanya haya mabadiliko kwa kuwa masuala ya uwekezaji kwenye Bandari hayahusiani na Sheria hizi.
 
Kusanyiko la bundi na lenyewe linaitwa bunge, google neno 'parliament' kama huamini.
 
Utashangaa watakuwa wamepiga meza, vifijo, kelele, kwamba hatimaye wamefanya kazi.

Kumbe ni matokeo ya kelele za Akina Mwabukusi, Shivji na watanganyika Wazalendo.

Sijawahi ona Bunge kama hili la Tanzania.
 
Kiuhalisia hakukuwa na haja ya yale mabadiliko ya Sheria.

Tuliowasilisha maoni yetu tumeyawasilisha na Bunge limeridhia
Pale hatuna bunge wale wanaamrishwa tu pitisheni, huoni wanakiri kuwa mbunge alipitisha mkataba wa bandarini hajui hata kilichomo akamuuliza na professor naye akasema hajui
 
Muone mjinga huyu.

TEC wanahusikaje hapo? Hata mimi niliwasilisha maoni yangu bungeni kuwa hakuna haja ya kufanya haya mabadiliko kwa kuwa masuala ya uwekezaji kwenye Bandari hayahusiani na Sheria hizi.
Wale Salama leku walitoka waraka wa kuunga mkono uporaji wa maliasili kwa kigezo kuwa DP World ni Salama leku wenzako.
 
Pale hatuna bunge wale wanaamrishwa tu pitisheni, huoni wanakiri kuwa mbunge alipitisha mkataba wa bandarini hajui hata kilichomo akamuuliza na professor naye akasema hajui
Kuhusu Mkataba wa Uwekezaji Bandarini. Naunga mkono azimio la Bunge.

Kuhusu marekebisho ya Sheria zetu za mwaka 2017 hapo ndo sijaunga mkono kwa sababu hakukuwa na haja ya kufanya hayo.
 
Back
Top Bottom