sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Swali alilouliza jamaa ni sawa na kuulizwa kwani njaa inaumaje.Huwezi jua shida ya huo mkataba unless wewe ni Mtanganyika kwa maana halisi ya jina hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali alilouliza jamaa ni sawa na kuulizwa kwani njaa inaumaje.Huwezi jua shida ya huo mkataba unless wewe ni Mtanganyika kwa maana halisi ya jina hilo.
Hakuna aliyempuuza Mwambukusi kaamusha wengi wakiwemo TEC, kama ni mnara basi ujengwe wa Mwambukusi.Mu mpe hongera na Mwabukusi, jamaa kapambana kabla ata ya TEC, ila watu wamempuuzia, mi binafsi nampongeza sana
Tofautisha mali asili na rasilimaliNchi imejaa wajinga kila kona. Bandari huwezi kuiweka kwenye kundi la maliasili, yale maji ndio yanaingia kwenye kundi hilo.
Meli ya mzigo inayoleta magari kutoka Japan utaiweka vipi kwenye kundi la rasilimali za Taifa?.
Meli ya mzigo inayoleta mafriji na vifaa vya majumbani utaiweka vipi katika kundi la raslimali za Taifa?.
Zile mashine za kushusha na kupakia makontena utaziweka vipi kwenye kundi la rasilimali?. Zote hizi ni juhudi za wanaharakati kutaka kusema kuwa bandari yetu ni sehemu ya rasilimali, hizi ni akili za kipuuzi kabisa.
Wewe ni Nani hadi wakusikilize chawa mmoja wewe. Hapo ni TEC, Viongozi wako wakubwa na watu nyeti serikalini tangu Uhuru wamekuwa wakilelewa na kuchukuliwa kutoka katika kanisa katolikiMuone mjinga huyu.
TEC wanahusikaje hapo? Hata mimi niliwasilisha maoni yangu bungeni kuwa hakuna haja ya kufanya haya mabadiliko kwa kuwa masuala ya uwekezaji kwenye Bandari hayahusiani na Sheria hizi.
Badilisheni sheria sasa mbona mmeanza kupoteana?Mazuzu nyie,kila kitu kitaenda vilevile tu
Bandali ni Nini Kama sio raslimali ya Taifa.
Ndio wanapunguzwa kwa kuanzia na hao wa bandarini, ni mwendo wa kisayansi zaidi. Si unazisikia kelele za Tibaijuka?, zinawakilisha kilio cha wapigaji wengi nchini wakiwemo baadhi ya maaskofu wa TEC.Mnashindwa kuwachukulia hatua mafisadi mnawakumbatia halafu mnakuja kupiga kelele kinafiki.
Ukiondoa yale maji tu pale bandarini vilivyobakia vyote haviingii kwenye kundi la mali asili za Taifa.Tofautisha mali asili na rasilimali
Sasa hayo maji ndo yanasababisha hyo bandari iwepo hapoUkiondoa yale maji tu pale bandarini vilivyobakia vyote haviingii kwenye kundi la mali asili za Taifa.
Bado sio kigezo cha kuipa bandari sifa ya kuitwa maliasili. Tunapiga siasa zetu za kijamaa wakati Kule DRC na Rwanda mwekezaji keshamalizana na serikali.Sasa hayo maji ndo yanasababisha hyo bandari iwepo hapo
Ni miongoni mwa rasilimali za taifa...inachangia pato kwny taifa....unavyofanya kuwekeza kwa mikataba ya muda mrefu si afya kwa uchumi wa taifa husikaBado sio kigezo cha kuipa bandari sifa ya kuitwa maliasili. Tunapiga siasa zetu za kijamaa wakati Kule DRC na Rwanda mwekezaji keshamalizana na serikali.
Ninaielewa sana awamu ya sita kuamua kuendelea na huu uwekezaji, kwani ni kwa lengo la kuinua uchumi mzima wa Tanzania, ni kwa lengo la kuwatendea haki wafanya biashara wakubwa wanakwazwa na huu ujuaji wetu pamoja na mijadala mingi isiyokwisha.
mkataba Yao kidogo imekaa kwa mfumo wa kuzisaidia Nchi husika....hapa kwetu Hawa wanasheria uchwara wamesaini tu hata yasiyohitajikaBado sio kigezo cha kuipa bandari sifa ya kuitwa maliasili. Tunapiga siasa zetu za kijamaa wakati Kule DRC na Rwanda mwekezaji keshamalizana na serikali.
Ninaielewa sana awamu ya sita kuamua kuendelea na huu uwekezaji, kwani ni kwa lengo la kuinua uchumi mzima wa Tanzania, ni kwa lengo la kuwatendea haki wafanya biashara wakubwa wanaokwazwa na huu ujuaji wetu pamoja na mijadala mingi isiyokwisha.
TICTS alikuwa pale kwa miaka 22 hatujui DP World atakuwa pale kwa muda gani, pia ukumbuke kuna mwekezaji mwingine atapewa magati namba tisa mpaka kumi na mbili na mwingine atapewa bandari nzima ya Bagamoyo.Ni miongoni mwa rasilimali za taifa...inachangia pato kwny taifa....unavyofanya kuwekeza kwa mikataba ya muda mrefu si afya kwa uchumi wa taifa husika
Mara mufumo haisomaniNaona wame amka. Sio kila kitu ndiyoooo. Hata la bandari tuna taka lifutwe. Hatuwezi kuuza kila kitu kwa wageni ati kisa walioko bandarini ni wezi!!! Hivi hatuna soni?? Nani kaweka wezi bandarini kama sio Ccm na serikali yake??
Acha tu mkuu. Yaani hawa jamaa wanatuona mabwege, mandorobo, mazombi, bendera fuata upepo nk nkUnatengeneza tatizo.. Unasikilizia .. Kelele zikizidi unalitatua kisha unasifiwa na kupongezwa..[emoji23] [emoji1544][emoji1550]
Nakazia.Hili ni Changa la macho tu. Kitu wanachakifanya ni kufanya marekebisho kwenye sheria zingine mbalimbali na kupachika hayo waliyoyataka kuyaweka au kuyaondoa humo kwenye sheria ya Maliasili na kuyaweka huko kwingine....mfano
Someni hiyo ya PPP ndio yenye maudhui mazuri.
Hatahivyo, kwa kusononeka kabisa, nasema, kuyaondoa mapendekezo hayo, hakuondoi uvunjwaji wa sheria au utumiaji wa Nguvu na mabavu kuhakikisha Waarabu wanakuja kututawala.
Pingeni Dhulumat hii