Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Muone mjinga huyu.TEC kama TEC wame wafikia... wapo wiki ya Pili zimebakia wiki nne...
Nazani somo lina waingia taratibu huko madhabauniš¤£
Aibu snTena lililoratibiwa na marehemu mmoja alipambana sana kutuletea wajinga bungeni
Ni hatari sn na aibu mkuuMuone mjinga huyu.
TEC wanahusikaje hapo? Hata mimi niliwasilisha maoni yangu bungeni kuwa hakuna haja ya kufanya haya mabadiliko kwa kuwa masuala ya uwekezaji kwenye Bandari hayahusiani na Sheria hizi.
Mkataba wa DP World una shida gani?Kumbe huwa wanasikia,bado mkataba wa dpw.
Ikiwa hivyo itakuwa mzozo mpyaš¤Is she worth trusting ? Or they are re-naming and bring back kivingine ?
Siyo la kijinga bali ni la kipumbavu kabisaTuna bunge la kijinga sn
Kiuhalisia hakukuwa na haja ya yale mabadiliko ya Sheria.Ni hatari sn na aibu mkuu
Huwezi jua shida ya huo mkataba unless wewe ni Mtanganyika kwa maana halisi ya jina hilo.Mkataba wa DP World una shida gani?
AiseeUnatengeneza tatizo.. Unasikilizia .. Kelele zikizidi unalitatua kisha unasifiwa na kupongezwa..[emoji23] [emoji1544][emoji1550]
Mimi ni mtanganyika. Niambie kuna shida gani kwenye huo mkataba?Huwezi jua shida ya huo mkataba unless wewe ni Mtanganyika kwa maana halisi ya jina hilo.
TECni nani na wewe? watu wana akili zao huko wanaona achana na tec ykoTEC kama TEC wame wafikia... wapo wiki ya Pili zimebakia wiki nne...
Nazani somo lina waingia taratibu huko madhabauniš¤£
Hatari tupu mkuuSiyo la kijinga bali ni la kipumbavu kabisa
Pale hatuna bunge wale wanaamrishwa tu pitisheni, huoni wanakiri kuwa mbunge alipitisha mkataba wa bandarini hajui hata kilichomo akamuuliza na professor naye akasema hajuiKiuhalisia hakukuwa na haja ya yale mabadiliko ya Sheria.
Tuliowasilisha maoni yetu tumeyawasilisha na Bunge limeridhia
Wale Salama leku walitoka waraka wa kuunga mkono uporaji wa maliasili kwa kigezo kuwa DP World ni Salama leku wenzako.Muone mjinga huyu.
TEC wanahusikaje hapo? Hata mimi niliwasilisha maoni yangu bungeni kuwa hakuna haja ya kufanya haya mabadiliko kwa kuwa masuala ya uwekezaji kwenye Bandari hayahusiani na Sheria hizi.
Kuhusu Mkataba wa Uwekezaji Bandarini. Naunga mkono azimio la Bunge.Pale hatuna bunge wale wanaamrishwa tu pitisheni, huoni wanakiri kuwa mbunge alipitisha mkataba wa bandarini hajui hata kilichomo akamuuliza na professor naye akasema hajui
Mimi ni mkristo na naunga mkono uwekezaji wa DP World Bandarini.Wale Salama leku walitoka waraka wa kuunga mkono uporaji wa maliasili kwa kigezo kuwa DP World ni Salama leku wenzako.
wabunge wanaijua hata hiyo sheria? 90% hawaijuiKuhusu Mkataba wa Uwekezaji Bandarini. Naunga mkono azimio la Bunge.
Kuhusu marekebisho ya Sheria zetu za mwaka 2017 hapo ndo sijaunga mkono kwa sababu hakukuwa na haja ya kufanya hayo.