Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Picha haionekani vizuri kwenye device yangu mkuu, hata maandishi ni madogo sana huku nilipo hayaonekani kabisa...INA MAANA WE HUJUI JINSIA YA WAZIRI WAKO WA MAMBO YA NDANI YA NCHI? Aliyeko kwenye picha ni mwanamke lakini jinsia ya kiume(Male) Katazame details ya kadi.