Serikali yaondoa ukomo wa Matumizi ya Vitambulisho vya Taifa
INA MAANA WE HUJUI JINSIA YA WAZIRI WAKO WA MAMBO YA NDANI YA NCHI? Aliyeko kwenye picha ni mwanamke lakini jinsia ya kiume(Male) Katazame details ya kadi.
Picha haionekani vizuri kwenye device yangu mkuu, hata maandishi ni madogo sana huku nilipo hayaonekani kabisa...
 
Tupeni vitambulisho vyetu acheni maneno.
Vitambulusho vilivyotolewa mwanzoni ndio vingi vibatakiwa kuombwa tena baada ya miaja 10. Sasa hao NIDA wataweza kushughulikia hivo wakati ya waioomba hawajaweza kuwapa vitambulusho? WAMEZIDIWA TU TUSIDHANI WAMETUONEA HURUMA HAWANA UWEZO KANA ATCL TU. SIJUI NI NINI KINATUTAFUNA. LABDA BARABARA MABWAWA NA MADARAJA NDIO VINAKAMILIKA .
 
Waswahili wanasema - siyo bure
Nitoe rai kwa watoa huduma kwa wananchi hasa taasisi za kifedha, benki na kampuni za simu kuendelea kuvitambua na kuvitumia vitambulisho vya Taifa vyenye tarehe ya ukomo uliopita kwa sababu havitakuwa na ukomo tena wa matumizi.

[emoji848][emoji2827] Hizo rai haziwi valid kwenye mamlaka mpaka serikali itoe waraka
 
Serikali imesikia kilio cha Wananchi na imetangaza rasmi kuondoa ukomo wa matumizi wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA), vilivyomalizika muda wake baada ya kufanya mabadiliko ya kanuni za usajili na utambuzi wa watu.

Hayo yamebainishwa leo Jumanne tarehe 21 Februari 2023 na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni wakati akizungumza na wanahabari Jijini Dar es Salaam, kuhusu Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) na hali ya utolewaji wa vitambulisho hivyo.​
View attachment 2525037
Ukomo wa NIDA ilikuwa kielelezo kingine cha ujinga na udhaifu wa Lucifer Magufuli, kitambulisho cha taifa kitakuwaje na ukomo wakati ni cha mzaliwa wa nchi hizi?!
Tena siku hiyo alifokafoka sana ili viwekwe ukomo, kina Mwaimu wakamdeku akawafungulia kesi ya uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya madaraka!

Msumari mwingine kwenye jeneza la dikteta Uchwara na maamuzi yake ya kishamba na kipumbavu!
 
Sasa mtu anaitwa Annastazia inakuwaje anakuwa me? Hivi hawa nida wanaumwa?
 
Ni mwanamke tena mzuri kweli anaitwa Anastazia ila details kwenye kadi inaonesha jinsia yake ni M yaani mwanaume
Asante kwa ufafanuzi mujarab kabisa, kwakua ni mwanamke ebongoja niangalie namna ya kufanya mambo mbalimbali...😋
 
Ni umasikini wa nchi tu kukwepa gharama ya kutengeneza card mpya lakini duniani kote vitambulisho hivi vina expire lengo ni muhusika kuhuwisha, (update) taarifa zake. Picha uliyoweka Leo kwenye kitambulisho ukiwa na miaka 20 haitakuwa sawa wakati ukiwa na miaka 40.hivyo huwezi kusema utumie kitambulisho hicho milele wakati details zako zinabadilika
 
Serikali imesikia kilio cha Wananchi na imetangaza rasmi kuondoa ukomo wa matumizi wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA), vilivyomalizika muda wake baada ya kufanya mabadiliko ya kanuni za usajili na utambuzi wa watu.

Hayo yamebainishwa leo Jumanne tarehe 21 Februari 2023 na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni wakati akizungumza na wanahabari Jijini Dar es Salaam, kuhusu Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) na hali ya utolewaji wa vitambulisho hivyo.​
View attachment 2525037
Demu mzuri kinyama. Anapatikana wap uyu??
 
Hiyo expire date ilikuwa inaleta uchuro uchuro hivi, ukiona kama nawe waenda kuexpire.
 
Back
Top Bottom