Kumbe ni dokta wa mambo Jambo!.Malizia kuwa mawazo yangu kuhusu Soccer hayareflect Udaktari..!
Na nakubali pia..
Kwa sababu Soccer its not my specialty..
Mimi sio Football analytical Guy
Lakini jua kwamba Ukiwa upande wa Upinzani huwezi kuona Point yeyte iliyoclear
Haswaa ndicho nilichomaanisha, asante kwa masahihisho.Trategy = Strategy.
hoja ni kwamba yanga wameomba kwa waziri msaada,simba na wao wakaombeHongera dr.samia maana Simba wanaenda kututia aibu huko,angalau yanga wameonyesha kuwa wana kitu wanaweza kufanya kupata ushindi.
kumekucha😄😄Wewe Jina lako ni Loveness tunakujua Toka kitambo Mkuu wala sijafukua..
Hakuna mwanaume Anayeweza akaandika Thread kujifananisha na mwanamke na kama siyo shoga...
mwanaume anajiisifu hadharani Kuliwa?View attachment 2950757
Hoja fikirishi!Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali, hii timu inapendelewa na serikaki.
Mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa, ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano.
Na wewe unafurahia matumizi ya hovyo ya Kodi zetuMlitaka mpewe nyinyi ambao hamna uhakika wowote ule wa kusonga mbele!! By the way, Yanga ni timu ya Wananchi.
SADC DerbySimba na Try again next season.
Mambo kama hayo yanafanyika kwa derby kubwa kubwa kama SADC DERBY.
Suala la kusonga mbele ni la hesabu pekee tu, sio suala la kuwa na uhakika. Mchezo unachezwa, hesabu zinapigwa. Hakuna timu iliyowahi kusonga mbele kwa kuwa eti kabla ya mchezo ilikuwa ina uhakikaMlitaka mpewe nyinyi ambao hamna uhakika wowote ule wa kusonga mbele!! By the way, Yanga ni timu ya Wananchi.
Yes mkuuSADC Derby
Yanga walihamasishwa kwenda, wakajitokeza, wakajichangisha. Kuona watu wamejitokeza, uongozi wa Yanga ukaomba msaada serikalini. Simba hawajafanya lolote sasa unataka hapo wasaidiweje?I see, siyo sawa. Hata Simba nako wapeleke mashabiki 40. Siyo vizuri kupendelea, hizi timu zinawskilisha nchi yetu wote.
Mamelod mlikua mnawa post wanafanya mazoezi wakiwa wamefunika macho kama Bush Stars, je walipokuja nchini mliona kiwango cha timu yenye uwezo wa kucheza ikiwa imefumba macho? Au mliishia kuona jinsi timu inavyocheza yenyewe golini kwao kwa kupasiana mipira na golikipa wao?Yeah nakubaliana na wewe kabisa ila kwa Mpira wa Alahly labda kama akibadilika ila kwa mpira ule simba akibadilika na akaongeza mashambulizi anapata goli si chini ya moja..
Hapo sasa.View attachment 2950693Mkeka umeuona?
Mashabiki wa Simba wakafanye nini huko Misri?
Acha upupu..umeona hyo tuu? Hivi akili huwa mnaiweka wapi..weka na picha zingine CAF walizowekaView attachment 2950693Mkeka umeuona?
Mashabiki wa Simba wakafanye nini huko Misri?
Mpe last chance mjinga tu huyoNahisi Natakiwa kukuweka kwenye Ignore list