Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

Malizia kuwa mawazo yangu kuhusu Soccer hayareflect Udaktari..!
Na nakubali pia..
Kwa sababu Soccer its not my specialty..
Mimi sio Football analytical Guy

Lakini jua kwamba Ukiwa upande wa Upinzani huwezi kuona Point yeyte iliyoclear
Kumbe ni dokta wa mambo Jambo!.
 
Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali, hii timu inapendelewa na serikaki.

Mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa, ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano.
Hoja fikirishi!

Je, Simba waliwasilisha barua ya maombi kuomba usaidizi wa Serikali kuwalipia mashabiki wao?

Ikiwa Simba waliomba na wakakataliwa huo ni mzozo mkubwa
 
Sasa Simba inalalamika Nini?, serikali imeona mashabiki wa yanga hawana pesa za kuingia uwanjani ndio maana serikali imeamua kuwasaidia.. siku n matajiri. Kumbe na matajiri wanapenda vya bure🤭🤭🤭
 
Mlitaka mpewe nyinyi ambao hamna uhakika wowote ule wa kusonga mbele!! By the way, Yanga ni timu ya Wananchi.
Suala la kusonga mbele ni la hesabu pekee tu, sio suala la kuwa na uhakika. Mchezo unachezwa, hesabu zinapigwa. Hakuna timu iliyowahi kusonga mbele kwa kuwa eti kabla ya mchezo ilikuwa ina uhakika
 
Mleta uzi ulivyoanza sentensi yako ,,, ' yaan nyuma ya yanga kuna mkono wa serikali ' ulikosa maneno mengine kweli
 
I see, siyo sawa. Hata Simba nako wapeleke mashabiki 40. Siyo vizuri kupendelea, hizi timu zinawskilisha nchi yetu wote.
Yanga walihamasishwa kwenda, wakajitokeza, wakajichangisha. Kuona watu wamejitokeza, uongozi wa Yanga ukaomba msaada serikalini. Simba hawajafanya lolote sasa unataka hapo wasaidiweje?
 
Yeah nakubaliana na wewe kabisa ila kwa Mpira wa Alahly labda kama akibadilika ila kwa mpira ule simba akibadilika na akaongeza mashambulizi anapata goli si chini ya moja..
Mamelod mlikua mnawa post wanafanya mazoezi wakiwa wamefunika macho kama Bush Stars, je walipokuja nchini mliona kiwango cha timu yenye uwezo wa kucheza ikiwa imefumba macho? Au mliishia kuona jinsi timu inavyocheza yenyewe golini kwao kwa kupasiana mipira na golikipa wao?
 
Back
Top Bottom