Ukuaji ni kwa mafisadi na wapiga diliHaya peleka jina wakuchague kwenye list ya mawaziri....
Tunachokiangalia je, ukuaji wa uchumi au mzunguko wa fedha unaenda sawia na ukuaji wa kipato cha wananchi? Au tunakazana kufurahisha genge la walio nacho?
Kaziindelee Tanzania na Samia===
Katika kipindi cha miezi tisa sasa tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umeendelea kuwa imara siku hata siku ambapo ulikuwa kwa wastani wa asilimia 5.2 kutoka asilimia 2.1 katika kipindi kama hicho FY2020.
Ukuaji huu wa Pato la Taifa ( GDP ) unachagizwa zaidi na kuimarishwa kwa Sekta ya Utalii iliyochangia kwa asilimia 18.,Kilimo kilichochangia kwa asilimia 15.1 lakini pia kuimarishwa kwa miundombinu ya Usafirishaji,Mawasiliano na kuimarisha sekta ya fedha nchini,
Mfumuko wa bei umeendelea kusalia katika urari wa tarakimu moja ya kati ya asilimia 3 na 5 hali iliyosababishwa naupatikanaji wa Chakula cha kutosha cha zaidi ya tani laki mbili kwa mujibu wa ripoti za BOT huku ukiyumbishwa kidogo na kupanda kwa bei ya mafuta katika soko la dunia kulikosababishwa na janga la COVID 19.
Sote tunafahamu,Kabla ya Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan na katika mwaka wa fedha 2019|2020 Ujazi wa fedha kwa tafsiri pana zaidi ( M3 ) kwa mujibu wa BOT ulikuwa na kufikia asilimia 6.5,
Majaabu ni ripoti za robo ya tatu za Benki Kuu ya Tanzania zinaonesha ujazi huo huo wa fedha zinazomiminika ( liquid money-M3 ) umefikia asilimia 12.7 kutoka asilimia 6.5 sawa na ongezeko la karibu asilimia 100 yaani mara mbili zaidi kwa kipindi hiki kifupi cha uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan,
Kwa maana nyepesi sasa hivi unaweza kuiandika noti ya Shilingi elfu 10 jina lako na baada ya muda mfupi ikakupata tena ikiwa na jina lako Natoa mfano tu sisemi tuchafue noti zetu tufanyeni kazi vipimo vya kitaalamu vinaonesha pesa tayari iko mtaani inamiminika ila lazima tufanye kazi kwa bidii na maarifa kwani hakuna pesa ya bure Tanzania,
Wakati huohuo Ujazi wa fedha kwa tafsiri finyu yaani ( M2 ) nayo imeongezeka kutoka asilimia 9.1 FY2019|2020 hadi asilimia 14.9 hivi sasa huku akiba|Ukwasi yaani ( M0 ) nayo ikikua kutoka asilimia 5.7 hadi asilimia 6.3 yaani kila Sekta mambo ni bambam na Rais Samia Suluhu Hassan,
Ukuaji huu wa Ujazi wa pesa yaani M3, M2 na M0 umechagizwa zaidi na Sera rafiki na madhubuti za Kiuchumi zinazosimamiwa na Rais wa awamu hii ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan anayesimamia kwa Vitendo Ukuaji wa Uchumi akiufungamanisha na Maendeleo ya Watu na Maendeleo ya Vitu,
==================================
View attachment 2070665
View attachment 2070666
Tukutane wapi?Tukutane 2025
Titafute pesa mjomba hakuna cha bure,Ukuaji ni kwa mafisadi na wapiga dili
Hakuna kiongozi yaani Rais amewahi fikia viwango vya juu vya uchumi kwa mda mfupi Sana kama Samia..===

Wewe mkuu unakuwaga muwazi sana,Hakuna kiongozi yaani Rais amewahi fikia viwango vya juu vya uchumi kwa mda mfupi Sana kama Samia..
Kwa ishu za chuki binafsi ruksa ila kwa Takwimu za Uchumi Samia hana wa kushindana nae.
Unfortunately kwa Nchi zetu hizi maskini na zenye wajinga wengi, Uzuri wa Rais ni kupayuka hovyo,Kutukana na upuuzi mwingine.
NChi za wenzetu Rais anapimwa kwa rekodi za Uchumi na sio vinginevyo.Hongera Sana Samia.
Wanamshukuru Samia hela yeye kazitoa mfukoni mwake? Ila kwa nature ya watu wa Chato hiyo sio ajabu. We tested their wine.===
Katika kipindi cha miezi tisa sasa tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umeendelea kuwa imara siku hata siku ambapo ulikuwa kwa wastani wa asilimia 5.2 kutoka asilimia 2.1 katika kipindi kama hicho FY2020.
Ukuaji huu wa Pato la Taifa ( GDP ) unachagizwa zaidi na kuimarishwa kwa Sekta ya Utalii iliyochangia kwa asilimia 18.,Kilimo kilichochangia kwa asilimia 15.1 lakini pia kuimarishwa kwa miundombinu ya Usafirishaji,Mawasiliano na kuimarisha sekta ya fedha nchini,
Mfumuko wa bei umeendelea kusalia katika urari wa tarakimu moja ya kati ya asilimia 3 na 5 hali iliyosababishwa naupatikanaji wa Chakula cha kutosha cha zaidi ya tani laki mbili kwa mujibu wa ripoti za BOT huku ukiyumbishwa kidogo na kupanda kwa bei ya mafuta katika soko la dunia kulikosababishwa na janga la COVID 19.
Sote tunafahamu,Kabla ya Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan na katika mwaka wa fedha 2019|2020 Ujazi wa fedha kwa tafsiri pana zaidi ( M3 ) kwa mujibu wa BOT ulikuwa na kufikia asilimia 6.5,
Majaabu ni ripoti za robo ya tatu za Benki Kuu ya Tanzania zinaonesha ujazi huo huo wa fedha zinazomiminika ( liquid money-M3 ) umefikia asilimia 12.7 kutoka asilimia 6.5 sawa na ongezeko la karibu asilimia 100 yaani mara mbili zaidi kwa kipindi hiki kifupi cha uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan,
Kwa maana nyepesi sasa hivi unaweza kuiandika noti ya Shilingi elfu 10 jina lako na baada ya muda mfupi ikakupata tena ikiwa na jina lako Natoa mfano tu sisemi tuchafue noti zetu tufanyeni kazi vipimo vya kitaalamu vinaonesha pesa tayari iko mtaani inamiminika ila lazima tufanye kazi kwa bidii na maarifa kwani hakuna pesa ya bure Tanzania,
Wakati huohuo Ujazi wa fedha kwa tafsiri finyu yaani ( M2 ) nayo imeongezeka kutoka asilimia 9.1 FY2019|2020 hadi asilimia 14.9 hivi sasa huku akiba|Ukwasi yaani ( M0 ) nayo ikikua kutoka asilimia 5.7 hadi asilimia 6.3 yaani kila Sekta mambo ni bambam na Rais Samia Suluhu Hassan,
Ukuaji huu wa Ujazi wa pesa yaani M3, M2 na M0 umechagizwa zaidi na Sera rafiki na madhubuti za Kiuchumi zinazosimamiwa na Rais wa awamu hii ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan anayesimamia kwa Vitendo Ukuaji wa Uchumi akiufungamanisha na Maendeleo ya Watu na Maendeleo ya Vitu,
==================================
View attachment 2070665
View attachment 2070666
Hiyo mada iko wapi mkuuWanamshukuru Samia hela yeye kazitoa mfukoni mwake? Ila kwa nature ya watu wa Chato hiyo sio ajabu. We tested their wine.
Tanzania Nchii nzuri sana#Tanzania nakupenda
Hapana,Pesa hata CHADEMA mkifanya kazi kwa bidii mkiiacha kushinda mahakamani mtapata tu,Huo mzunguko uko kwenye mifuko ya wana Lumumba na nyie chawa buku 7!
Maana mzunguko wa fedha mtaani hakuna kabisa kila mtu analia noki!
Ubarikiwe sana,kutupa taarifa sisi wananchi.===
Katika kipindi cha miezi tisa sasa tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umeendelea kuwa imara siku hata siku ambapo ulikuwa kwa wastani wa asilimia 5.2 kutoka asilimia 2.1 katika kipindi kama hicho FY2020.
Ukuaji huu wa Pato la Taifa ( GDP ) unachagizwa zaidi na kuimarishwa kwa Sekta ya Utalii iliyochangia kwa asilimia 18.,Kilimo kilichochangia kwa asilimia 15.1 lakini pia kuimarishwa kwa miundombinu ya Usafirishaji,Mawasiliano na kuimarisha sekta ya fedha nchini,
Mfumuko wa bei umeendelea kusalia katika urari wa tarakimu moja ya kati ya asilimia 3 na 5 hali iliyosababishwa naupatikanaji wa Chakula cha kutosha cha zaidi ya tani laki mbili kwa mujibu wa ripoti za BOT huku ukiyumbishwa kidogo na kupanda kwa bei ya mafuta katika soko la dunia kulikosababishwa na janga la COVID 19.
Sote tunafahamu,Kabla ya Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan na katika mwaka wa fedha 2019|2020 Ujazi wa fedha kwa tafsiri pana zaidi ( M3 ) kwa mujibu wa BOT ulikuwa na kufikia asilimia 6.5,
Majaabu ni ripoti za robo ya tatu za Benki Kuu ya Tanzania zinaonesha ujazi huo huo wa fedha zinazomiminika ( liquid money-M3 ) umefikia asilimia 12.7 kutoka asilimia 6.5 sawa na ongezeko la karibu asilimia 100 yaani mara mbili zaidi kwa kipindi hiki kifupi cha uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan,
Kwa maana nyepesi sasa hivi unaweza kuiandika noti ya Shilingi elfu 10 jina lako na baada ya muda mfupi ikakupata tena ikiwa na jina lako Natoa mfano tu sisemi tuchafue noti zetu tufanyeni kazi vipimo vya kitaalamu vinaonesha pesa tayari iko mtaani inamiminika ila lazima tufanye kazi kwa bidii na maarifa kwani hakuna pesa ya bure Tanzania,
Wakati huohuo Ujazi wa fedha kwa tafsiri finyu yaani ( M2 ) nayo imeongezeka kutoka asilimia 9.1 FY2019|2020 hadi asilimia 14.9 hivi sasa huku akiba|Ukwasi yaani ( M0 ) nayo ikikua kutoka asilimia 5.7 hadi asilimia 6.3 yaani kila Sekta mambo ni bambam na Rais Samia Suluhu Hassan,
Ukuaji huu wa Ujazi wa pesa yaani M3, M2 na M0 umechagizwa zaidi na Sera rafiki na madhubuti za Kiuchumi zinazosimamiwa na Rais wa awamu hii ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan anayesimamia kwa Vitendo Ukuaji wa Uchumi akiufungamanisha na Maendeleo ya Watu na Maendeleo ya Vitu,
==================================
View attachment 2070665
View attachment 2070666
Achana na wengine,tuletee sisi wananchi.Hizi habari za maendeleo,sisi wananchi ukituletea,tunayaona maendeleo kwa macho yetu.Wewe mchambuzi mpumbafu tu, Huna hoja kabisa,
Mimi nafanya vitu serious wewe unaleta UCHADEMA kwenye vitu serious,
Achana na wengine,tuletee sisi wananchi.Hizi habari za maendeleo,sisi wananchi ukituletea,tunayaona maendeleo kwa macho yetu.
Sisi wananchi ndio,tunayaona maendeleo,na maendeleo yapo,maisha yana unafuu sana.Hawa CHADOMO watamchosha bure siku hizi wamekosa hoja kwani mama amewajibu karibu kila hoja,
Unafuu ni mkubwa mno!!Sisi wananchi ndio,tunayaona maendeleo,na maendeleo yapo,maisha yana unafuu sana.
Tuko pamoja na Mama Samia#Tanzania nakupenda
Safi sana, Ndio maana hata mfumuko wa bei kwenye vifaa vya ujenzi umeongezeka, Mama anaupiga mwingi sana, mtaani pesa imetapakaa
Sifa za kipumbavu,hivi wewe unafikiri haya matakwimu ya kwenye makaratasi yanaleta ugari mezani?hayo matakwimu yamepunguza tatizo la ajira kwa asilimia ngapi?===
Katika kipindi cha miezi tisa sasa tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umeendelea kuwa imara siku hata siku ambapo ulikuwa kwa wastani wa asilimia 5.2 kutoka asilimia 2.1 katika kipindi kama hicho FY2020.
Ukuaji huu wa Pato la Taifa ( GDP ) unachagizwa zaidi na kuimarishwa kwa Sekta ya Utalii iliyochangia kwa asilimia 18.,Kilimo kilichochangia kwa asilimia 15.1 lakini pia kuimarishwa kwa miundombinu ya Usafirishaji,Mawasiliano na kuimarisha sekta ya fedha nchini,
Mfumuko wa bei umeendelea kusalia katika urari wa tarakimu moja ya kati ya asilimia 3 na 5 hali iliyosababishwa naupatikanaji wa Chakula cha kutosha cha zaidi ya tani laki mbili kwa mujibu wa ripoti za BOT huku ukiyumbishwa kidogo na kupanda kwa bei ya mafuta katika soko la dunia kulikosababishwa na janga la COVID 19.
Sote tunafahamu,Kabla ya Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan na katika mwaka wa fedha 2019|2020 Ujazi wa fedha kwa tafsiri pana zaidi ( M3 ) kwa mujibu wa BOT ulikuwa na kufikia asilimia 6.5,
Majaabu ni ripoti za robo ya tatu za Benki Kuu ya Tanzania zinaonesha ujazi huo huo wa fedha zinazomiminika ( liquid money-M3 ) umefikia asilimia 12.7 kutoka asilimia 6.5 sawa na ongezeko la karibu asilimia 100 yaani mara mbili zaidi kwa kipindi hiki kifupi cha uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan,
Kwa maana nyepesi sasa hivi unaweza kuiandika noti ya Shilingi elfu 10 jina lako na baada ya muda mfupi ikakupata tena ikiwa na jina lako Natoa mfano tu sisemi tuchafue noti zetu tufanyeni kazi vipimo vya kitaalamu vinaonesha pesa tayari iko mtaani inamiminika ila lazima tufanye kazi kwa bidii na maarifa kwani hakuna pesa ya bure Tanzania,
Wakati huohuo Ujazi wa fedha kwa tafsiri finyu yaani ( M2 ) nayo imeongezeka kutoka asilimia 9.1 FY2019|2020 hadi asilimia 14.9 hivi sasa huku akiba|Ukwasi yaani ( M0 ) nayo ikikua kutoka asilimia 5.7 hadi asilimia 6.3 yaani kila Sekta mambo ni bambam na Rais Samia Suluhu Hassan,
Ukuaji huu wa Ujazi wa pesa yaani M3, M2 na M0 umechagizwa zaidi na Sera rafiki na madhubuti za Kiuchumi zinazosimamiwa na Rais wa awamu hii ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan anayesimamia kwa Vitendo Ukuaji wa Uchumi akiufungamanisha na Maendeleo ya Watu na Maendeleo ya Vitu,
==================================
View attachment 2070665
View attachment 2070666
cc: @CM 1774858Hizo data mnazocopy hazina maana kama Mwananchi wa kawaida Maisha yake yanazidi kuwa magumu kwa mfumuko wa bei pamoja na kutokuwa na kipato.
Ukizichunguza sana hizo figures zenu za money supply utagundua kuwa BOT inawapa banks fedha at discounted rates halafu haya mabenki yanawakopesha wafanya biashara ambao wengi wao ni wakubwa; wengi wao wasio kuwa wazawa hivyo ingawa mnasema mzunguko wa fedha umeongezeka lakini hazifiki mifukoni wa Watu wa hali ya chini badala yake hao wahindi wanazitorosha na kwenda kuzificha DUBAI na Mauritius!!! Fedha inayobaki nchini inakuwa na impact ndogo sana kwenye uchumi wa nchi ukilinganisha na Fedha iliyotolewa kutoka huko BOT.
Hivyo hizo data zenu zinakuwa ni indicative tu lakini hazina uhalisia. Wananchi wanapigika mara mbili kwanza kwa mfumuko wa bei due to increased money supply na pili kwa mifuko Yao kuwa mitupu [ uneven income distribution]!! You should analyse how the increased money in the economy is distributed amongst the population. Utashangaa kuona kuwa hizo fedha zinawanufaisha wachache sana ingawa data zenu zinaonesha kuwa fedha iliyotoka BOT zimeleta mzunguko mkubwa!
Sifieni pale panapokuwa na matokeo mazuri yanapopatikana na sio kusifia madhumuni ambayo hayazazaa matunda yaliyotarajiwa!!