Mzee wa Fuko la Ids are you serious? Ndio maana mmechukua waandishi wa habari za mapambio kwenda kuwatoa kafara aisee mnawezaje kuwapa lft waandishi habari za kujitegemea kama sio rushwa? Wataandika nini wakati lift + posho wanapata, wataulizaje maswali ya kiuchunguziUnaandika halafu unakuja kujijibu mwenyewe. Huku unachungulia post yangu imesomwa mara ngapi?
Frankly speaking mambo serious sana nimeyapa kisogo. Ni kujitia stress tu. MMU kuzuri bana, stress freee
Unapitia kwa wakubwa huko Serikalini. Si unaona wanajilipa mishahara minono + marupurupu kibao! Unaijua V8 wewe?!Huo mzunguko unapit awapi huko?
Ni chawa wa Chief Hangaya. Kila siku anakuja na thread mpya ya kumsifu boss wakeHuyu dogo mchawi kweli yani naona anantaftia ban tu na sifa zake za kindezi
Dalili za kukosa hoja hizi 😛😛Unaandika halafu unakuja kujijibu mwenyewe. Huku unachungulia post yangu imesomwa mara ngapi?
Frankly speaking mambo serious sana nimeyapa kisogo. Ni kujitia stress tu. MMU kuzuri bana, stress freee
Kwani ni kosa mpaka ale ban 😛😛Ni chawa wa Chief Hangaya. Kila siku anakuja na thread mpya ya kumsifu boss wake
Hahahahhaah Mbeba pochi wa mamaNi chawa wa Chief Hangaya. Kila siku anakuja na thread mpya ya kumsifu boss wake
Haha hata mimi ni CHADEMA ila CM 1774858 ameshiba hoja za kusaidia TaifaHahahahhaah Mbeba pochi wa mama
Mama anafanya vizuri sana. Si umeona amefanikiwa hata kuwabambikia watu kesi huku kwa unafiki akisema anatetea haki na uhuru wa maoni?Hawa CHADOMO watamchosha bure siku hizi wamekosa hoja kwani mama amewajibu karibu kila hoja,
Na kweli rekodi yake ya unafiki, uwongona kubambikia watu kesi, haijawahi kufikiwana yeyote. Chini ua miezi 6, tayari alikwishapata ujasiri wa kubambikia watu kesi, kusema uwongo na kauli nyingi za kinafiki kuwa anataka haki, huku yeye mwenyewe akikanyaga haki kwa matendo na kauli. Unafiki mkubwa. Mahali sahihi pa mtunafiki, ni jehanamu.Hakuna kiongozi yaani Rais amewahi fikia viwango vya juu vya uchumi kwa mda mfupi Sana kama Samia..
Kwa ishu za chuki binafsi ruksa ila kwa Takwimu za Uchumi Samia hana wa kushindana nae.
Unfortunately kwa Nchi zetu hizi maskini na zenye wajinga wengi, Uzuri wa Rais ni kupayuka hovyo,Kutukana na upuuzi mwingine.
NChi za wenzetu Rais anapimwa kwa rekodi za Uchumi na sio vinginevyo.Hongera Sana Samia.
Mijitu mingine miongo miongo tu uchambuzi!?Wewe mchambuzi mpumbafu tu, Huna hoja kabisa,
Mimi nafanya vitu serious wewe unaleta UCHADEMA kwenye vitu serious,
Ila mlishasema mama anaupiga mwingiCHADEMA wanateseka sana na performance za Mama
MIMI NI CHADEMA ILA MAMA ANAUPIGA MWINGI KWELIKWELI
Kazi gani mjinga wewe, 6 months ago bati lilikuwa 17,000 sasa hivi 25,000 hakuna anaeongelea Hilo mfumko wa Bei,halafu unaleta propaganda za kipuuzi hapa.Fanya kazi mkuu wangu
Ungepinga kwa data sasa na wewe huu wako ni udhaifu tuMijitu mingine miongo miongo tu uchambuzi!?
Hoja za kusaidia taifa lipi kama wadogo zake tu hata kazi hawana anasaidia taifa lipi ilihali familia imemshinda?Haha hata mimi ni CHADEMA ila CM 1774858 ameshiba hoja za kusaidia Taifa
Tunajadili mambo ya msingi kwenye uchumi sio upuuzi wakoNa kweli rekodi yake ya unafiki, uwongona kubambikia watu kesi, haijawahi kufikiwana yeyote. Chini ua miezi 6, tayari alikwishapata ujasiri wa kubambikia watu kesi, kusema uwongo na kauli nyingi za kinafiki kuwa anataka haki, huku yeye mwenyewe akikanyaga haki kwa matendo na kauli. Unafiki mkubwa. Mahali sahihi pa mtunafiki, ni jehanamu.
Jambo la kutia moyo, hata wazungu aliolenga kuwahadaa, wametambua unafiki na uwongo wake. Ataendelea kupigiwa vigelegele na wapungukiwa kichwani, lakini siyo na wenye uelewa.
Ila kupanda vitu bei ni dunia nzima kiongoziKazi gani mjinga wewe, 6 months ago bati lilikuwa 17,000 sasa hivi 25,000 hakuna anaeongelea Hilo mfumko wa Bei,halafu unaleta propaganda za kipuuzi hapa.
Duuuh 😛😛Hoja za kusaidia taifa lipi kama wadogo zake tu hata kazi hawana anasaidia taifa lipi ilihali familia imemshinda?