Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

Ficha ujinga,bila CDM Kuna upinzani???
 
Wakuu,
Naomba ufafanuzi wa hii kauli
"Ngazi nyingine za mshahara nazo zitapanda kwa kiwango kizuri jinsi bajeti inavyoruhusu."
Hapa kikotoo kimekaaje?
 
Upuuzi mtupu hakuna usawa kwenye mishahara kwenye sekta ya afya imetengwa. Kuna taasisi zipo zinapiga pesa kwa kuwekewa allowance zilizoshiba kwa dai la kuzalisha sana.
Mfano, kama EWURA anazalisha nini zaidi ya kuchota pesa.
🤣🤣Hao hiko kima hawapati hata siku moja.
 
Wakuu,
Naomba ufafanuzi wa hii kauli
"Ngazi nyingine za mshahara nazo zitapanda kwa kiwango kizuri jinsi bajeti inavyoruhusu."
Hapa kikotoo kimekaaje?
hamna mtu wa kufafanua hii wanairuka sana 😂😂😂😂
 
Huyo ameongea nini sasa?
 
Wanaosema wanawake hawawezi waje sasa ku challenge

Toka Tanzania ipate uhuru hakuna Raisi aliyewahi ongeza mshahara kwa kiwango cha Raisi Mama Samia iwe kwa asilimia au amount

Mitano tena kwa Raisi Mama Samia
 
Mama kaupiga mwingi.Sijawahi kuipa kura CCM mwaka huu itakuwa ni mara ya kwanza
 
Huwa ni chuki za kidini na mfumo dume.

Hakuna wa kumshinda Samia Kwa delivery Kila siku nawaambia.

Na kabla hajaondoka 2030 atabakia ameongeza 40% kabisa.
 
Reactions: Tui
Huna akili social security unaingiziwa chini ya laki kwa mwezi. Mwaka assume una 1.2m na sasa hivi vijana wanapata ajira 30+ years. Ukipiga hapo hesabu na kikokoto mtu anabaki kuwa maskini maishaa
 
Wanaosema wanawake hawawezi waje sasa ku challenge

Toka Tanzania ipate uhuru hakuna Raisi aliyewahi ongeza mshahara kwa kiwango cha Raisi Mama Samia iwe kwa asilimia au amount

Mitano tena kwa Raisi Mama Samia

Mama kaupiga mwingi.Sijawahi kuipa kura CCM mwaka huu itakuwa ni mara ya kwanza

Huwa ni chuki za kidini na mfumo dume.

Hakuna wa kumshinda Samia Kwa delivery Kila siku nawaambia.

Na kabla hajaondoka 2030 atabakia ameongeza 40% kabisa.

Niko daraja F kwa nyongeza hii kwa Nini nisimpe kura yangu?
Nyie ni mbwa na mtaendelea kuburuzwa maisha yenu yote. Tokeni huko uchawani tuje tuwaonyeshe maisha makumaku nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…