Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

Kima cha chini hakina PAYE
 
Naomba MUNGU GUNIA LA MAZAO YOTE SASA YAPANDE 68.3% ili uwiano uwe sawa kati yetu wakulima na wao
 
Swali la msingi ni kuwa pesa hizo zitatoka wapi. Na wanafanya nini kuzuia inflation?

Amandla...
 
Na wastaafu je? Pensheni ya shs 100,000 kwa mwezi ni kweli haki??
 
Mporomoko wa thamani ya shilingi.
Hakuna lolote hapo, mshahara wa laki tano bado ni mdogo sana. Hautoshi, watanzania wanaishi maisha ya taabu mno. Wao na wabunge wanajilipa mamillioni wengine wanalipwa kiduchu. Pesa hazitoshi hizo. Samia jibu tuhuma za mauaji na utesaji, usijitakase kwa kudanganya watu.
 
Hii nzuri sana, maana cost of living zipo juu sana
 
Du, wewe kama sio mwana siasa basi huenda sio mwajiriwa. What about mifuko ya hifadhi ya jamii? Chama cha wafanyakazi je? Ehee, Bima ya afya nayo umeiweka wapi? Mimi kwa mtazamo wangu, nadhani tumsubiri waziri wa fedha atakapo soma bajeti ya serikali, huko ndio tutajua kama hilo ongezeko la mama lina maana or not. Kama formula ya PAYE itabaki kama ilivo then yes, this is will be good lakini kama PAYE itapanda then kutakua hakuna maana sana. Hata hivo, out of wafanyakazi wa serikali, ni wangapi walikua na basic ya less than 500k?
 
KIMA Cha chini amesoma chuo gani Tena wakatii anaajiriwa na form four
 
Bora hata ninyi wenye 2,000,000 mkekaa zenu kimya maana sio kwa 1% huko
 
Mtupu baba yako.Angetumia condom usingezaliwa kiazi kama wewe unayefikiri kwa hisia Dundee United.
Wewe ni mtupu, sijui kwanini mama yako usiku ule alikubali kufanya maoenzi!! bila condom! Laiti angekataa, tungekuwa salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…