Serikali yapiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vikiwemo Wimpy Kid ili kulinda mila, desturi na tamaduni za Kitanzania

Kwani wao serikali hawajui au hawaoni? Wanaanzaje sasa kuwawinda? Msaada na mkopo unadhani inakuj bureee??

Subirini kuambiwa ushoga ni ruksa kila mtu a deal na kizazi chake, ndo mtajua hamjui.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Boraaa useme wee, huyu waziri atajikuta yuko pekee yake, muambieni akae kwa password. Serikali itamkana soon.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu tukidharauliwa na wenye Akili duniani na Kutuita Majuha (Fools) tunakasirika.

Wizara ipo, Serikali ipo, Mamlaka ipo, Wadau wapo na Watanzania tupo halafu Kinaingia Kitabu cha Kwanza hadi cha Kumi na Sita tupo tu Kimya leo Mambo yameshaharibika ndipo tunashuka.

Hili Taifa linahitaji Maombi makubwa.

Hovyo kabisa!
 
Ni kitu kidogo tu, tutaipelekea mswada Bunngeni ili iwe sheria; kama siyo sheria kwa sasa. Si unataka utawala wa sheria?
Serikali wameshanijibu.

Wametoa taarifa yenye kifungu cha sheria.

Wamejifunza, siku nyingine watazingatia kwenye marufuku zao kutaja sheria, ziwe marufuku za ugei, mikutano, marufuku kukejeli suti inayompwaya Rais, watu wa mikoani marufuku kuingia D'Salaam, marufuku kufanya jogging na t shirt za Katiba Mpya, marufuku kumsalia kwa Mungu mwanasiasa anaekaribia kukata pumzi kwa kutwangwa risasi...

Yote haya wakitoa tamko watajua kuna wananchi - hata tukiwa wawili nchi nzima - tutadai sheria.
 
Yaani anaviondoa mashuleni na kuomba wazazi waviondoe majumbani, huku bado vipo bookshops na labda kwenye library zisizokuwa za shule? Au bookshops hazitapata wateja kabisa na vitabu hivyo kutokomea?

Hivi hao wazazi na walimu hawakuvisoma kabla, ukiacha vile vyenye title kabisa?
 
Yeye amejitahidi kwa nafasi yake lakin bado kwenye e books vitakuwepo

Ngoja tuone Nape Nauye atafanyaje

Dunia inajibadilisha kwa haraka Kuku wa Mayai hasa Chotara wanapandana wenyewe kwa wenyewe

Wazungu hatari Sana!
 
Mimi siko na wewe kwa namna ulivyohusisha matetetemeko ya uturuki vita ya ukrain nk kuwa ndo yale yaliyomo kwenye unabii; Kwani vita vimeanza leo? Matetemeko ndo yameanza leo? Si vilikuwq tangu enzi na enzi?? Wanasiasa wameanza leo? Mbona hapakuwa na mwisho wa dunia?
 
Haya!
 
Mbatizaji umeona isiwe tabu unamkubalia kila kitu [emoji3][emoji3]
Alikuja na habari za watu wa vijiwe vya gahawa ndo maana kaelewa mapema. Nami nimpongeze kwa hilo, asiwatie watu hofu kwa kutumia maandiko ambayo yeye mwenyewe hajayaelewa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…