Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Kumbe ilikua Fake news ya mitandaoni 😳 nimecheka kwa nguvu hadi nimeamsha waliolala,Puhleeezz!!!
Sini mbwembwe tu na kufuata mkumbo baada ya kuona hiyo fake news inatrend online.
Na walivyo hawana akili hata hawajafanya research yoyote kuthibitisha hizo tuhuma ni za kweli, (maana kama wangefanya hivyo wangegundua ni uongo mtupu) wamelibeba tu kama lilivyo.
Vilikua kwenye Syllabus au Library?
Hizo ndizo fake version nilizosema.Hivi vitabu Ni janga wakuu,
Tusilete siasa ktk malezi ya taifa la keshoView attachment 2516421View attachment 2516422
CONTEXT IS EVERYTHING!!Hivi vitabu Ni janga wakuu,
Tusilete siasa ktk malezi ya taifa la keshoView attachment 2516421View attachment 2516422
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda leo February 13, 2023 kwa Mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 59 cha sheria ya Elimu Sura 353 amepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vya ziada katika Shule za umma na binafsi nchin...
Na hivyo vingine Vya LBQTI?tupe ufafanuzi wake mtalaamu wetuCONTEXT IS EVERYTHING!!
Msiwe mnapenda kubeba vitu bila kufanya uchunguzi kidogo.
Hicho kitabu chenye chapter ya Fancying People kinaitwa What's happening to me? . Ni kwaajili ya kuwasaidia watoto wakike wanaoanza kubalehe (13yrs na kuendelea) kuelewa mabadiliko ya kimwili na kihisia wanayokabiliana nayo. Maudhui hayako nje ya makusudio hivyo hakuna chakulalamikia wala kulaumu.
😁😁😁Kumbe ilikua Fake news ya mitandaoni 😳 nimecheka kwa nguvu hadi nimeamsha waliolala,
Sasa itakuaje jamani mbona aibu hii
Unaposikia Kiada na Ziada unaelewa nini?Vilikua kwenye Syllabus au Library?
Vipigwe marufuku kabisa,na shule inayotumia vitabu hivi,ifungiwe kabisa.Hivi vitabu Ni janga wakuu,
Tusilete siasa ktk malezi ya taifa la kesho.
View attachment 2516421View attachment 2516422
Iwe ni fake au si fake news, hivyo vitabu hatuvitaki.Serikali ya Tanzania imeingia mkenge kukubali fake news ya "Diary of a Wimpy Kid" kilichobadilishwa na wahafidhina na kusambazwa Whatsapp...
Fake news unaelewa iko wapi?Iwe ni fake au si fake news, hivyo vitabu hatuvitaki.
Ewee mwenyez Mungu Tuepushe na hili balaa kwa watoto wetu
Vipigwe marufuku kabisa,na shule inayotumia vitabu hivi,ifungiwe kabisa.
Fake news unaelewa iko wapi?
Wewe ushawahi kuvisoma? Huvitaki kwa nini?
Siku hizi watu wana download vitabu mitandaoni, wanasoma kwenye tablets.
Huko nako utazuia?
Utazuia na internet nayo watu wasisome websites na blogs usizotaka?
Ni hatari Sana wakuu,Aisee...mbona kama mamlaka imechelewa sana kufanya maamuzi.
Kweli zama hizi watoto wetu wa kiume nilazima tuwachunge sana.
Kabisa mkuu[emoji26]Mkuu,
There's a hope in a living dead than a dead lion.
Kwaiyo unaona hiyo content iko sahii?CONTEXT IS EVERYTHING!!
Msiwe mnapenda kubeba vitu bila kufanya uchunguzi kidogo.
Hicho kitabu chenye chapter ya Fancying People kinaitwa What's happening to me? . Ni kwaajili ya kuwasaidia watoto wakike wanaoanza kubalehe (13yrs na kuendelea) kuelewa mabadiliko ya kimwili na kihisia wanayokabiliana nayo. Maudhui hayako nje ya makusudio hivyo hakuna chakulalamikia wala kulaumu.
Na ibolewe kabisa ikibidi[emoji26]Vipigwe marufuku kabisa,na shule inayotumia vitabu hivi,ifungiwe kabisa.