Serikali yapiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vikiwemo Wimpy Kid ili kulinda mila, desturi na tamaduni za Kitanzania

Mungu atusaidie hiki kizazi. Haswa sisi wenye watoto wa kiume🙌🏼 kila akirudi unamuuliza maswali tena kiupole ili asikufiche kitu. Malezi sasa yamebadilika sana inabidi mzazi uwe friendly mno
Huku kimara Kuna bwana ana kijana wa kiume Yuko 20s mwanzoni,anamshawishi kutafuna mbususu na humpa chumba chake akipata Dem,humwambia 'mi nataka ule mbususu ili usisukumwe ugali we fala'..wazazi tumekua na hofu na mtoto wa kiume mpaka basi
 
Huku kimara Kuna bwana ana kijana wa kiume Yuko 20s mwanzoni,anamshawishi kutafuna mbususu na humpa chumba chake akipata Dem,humwambia 'mi nataka ule mbususu ili usisukumwe ugali we fala'..wazazi tumekua na hofu na mtoto wa kiume mpaka basi
Bora mtoto aniletee wachumba ntaelewa
 
Hadanganyi hivyo vitabu vya wimpy kids nimevisoma versions zote, havina issue ya ushoga,,ila vilivyokaa vinazungumzia issue ya ukuaji na barehe openly.kwa hiyo kwa kusoma vinahitajika visomwe na mtoto ambaye amekwishajitambua na barehe tayari.labda vijana kuanzia form 2 kuendeleza.lakini Kama wamevipiga marufuku kwa issue za ushoga wamebugi mbaya, Tena kwa wapenda vitabu ,story yake Ni nzuri mmno hazichoshi kusoma
 
mbona sisi wakati tunasoma vitabu hivyo havikuwepo?
 


Vinginevyo naona hili katazo limekuja “just for the sake of formality”, ni kwa sababu wanawajibika kukemea kwa mujibu wa katiba na sheria lakini kiuhalisia vigezo na masharti vina play part yake ipasavyo.

Hii vita tumeshashindwa hata kabla hatujaanza. Zamani sana!

Hapa kuchomoka ni kwa uimara wa Nafsi, Imani na Mungu mwenyewe.
 


Vijana wako mitaani hawana chochote cha kufanya , hizi NGOs tunazikaribisha zinawapa chochote cha kufanya vijana wetu na hatuwezi kuzitimua nchi zao zinatupa mikopo yenye “masharti nafuu”!

Vijana tumewawekea mazingira magumu ya kuinuka kiuchumi, Makusudi au Bahati mbaya?!?

All roads lead to ….
 
Ushoga uko mitaani, Magerezani ndio mchezo wa kawaida, na baadhi ya Maboding ya wanaume watupu, .Ushogaunatengenezwa kwenye mitandao ya kijamii TIK TOK na kuna Taasisi maalumu zinawalipa wahusika fedha nyingi li kuhamasihs USHETANI HUU hasa kutoka sweden na scandnavian countries.na Marekani
 
Mimi Napendekeza Islamic sheria Itumika ya Kuwanyonga mashoga hadarani. kwani wanawadhalilisha wanaume na kuwazibia riski wanawake za Ngono endelevu yenye tija kwa Binadamu.
 
Mimi Napendekeza Islamic sheria Itumika ya Kuwanyonga mashoga hadarani. kwani wanawadhalilisha wanaume na kuwazibia riski wanawake za Ngono endelevu yenye tija kwa Binadamu.
Hao Mashoga wanajifanya wenyewe? Eti wanadhalilisha Wanaume nyie si ndio mnaoanza kuwaharibu wakiwa wadogo halafu sasa hivi mnajifanya kuumia
 
Fake news unaelewa iko wapi?

Wewe ushawahi kuvisoma? Huvitaki kwa nini?

Siku hizi watu wana download vitabu mitandaoni, wanasoma kwenye tablets.

Huko nako utazuia?

Utazuia na internet nayo watu wasisome websites na blogs usizotaka?
Achaga ujuaji wa kisengerema kwenye mambo mazito. Kama una asili ya kubinuliwa, usitake kuambukiza vizazi vijacho.
 
Wizara imedanganywa hasa kwenye Diary or Wimpy Kid.

And am sure tupo kwenye group moja la whattsap.

Hii ishu ilijadiliwa kwenye hilo group na huyo jamaa akatupa evidence.
 
Kama bado unaamini Diary of a Wimpy Kid ina Ushoga basi hasara ni juu yako
Nimegundua watu hawasomi ila wanakurupuka mfano kuna mtu kaweka soft copy hapo juu hali ya kua na yeye anaamini hicho kitabu kinakiuka maadili lakini ukisoma huoni hicho kitu [emoji3] sasa tatizo ni lugha au ushabiki hadi watu wanajitia upofu
 
Pia nataka kujua majina ya vitabu vya 14, 15 na 16 na vyenyewe nivitafute nivisome, "is for Tansgender" sijui walitaka kumaanisha nini hapo [emoji1]
 
Acha ukoloni!! Kwahiyo mtoto kusikiliza bongo flavor ni ukosefu wa maadili?
 
Haya wewe unayejua kiingereza hebu nioneshe mstari kwenye hicho kitabu unaozungumzia Ushoga
Wewe ni mpumbavu kabisa huwezi hata kutambua maudhui ya kitabu, wewe wataka wataje neno ushoga ndo ujue kwamba wanaeneza ushoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…